Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao wana build kwa phase kwa sababu pesa za mkopo zinakua na masharti hawakupe pesa ya phase 2 wakat phase1 hujakamilisha
Ni kweli, tatizo lao huwa wanaitumia Kenya kama benchmark, kinachofanyika Kenya wanataka nchi zote zifanye hivyo, kwamfano Kenya wana slums, wanadhani hakuna nchi ambayo haina slums kama zao, hilo ni tatizo la watu wasiofikiria nje ya box ili kujua na kujifunza mambo tofauti na anayoyajua.
 
FDI in Tz is mostly goes to mining sector which hardly benefits the common mwananchi.
unajua mala ya mwisho imepata muwekezaji wa madini ilikuwa kipindi cha Raisi Mkapa 2000-2005, Kikwete yeye ni Gesi, Magufuli viwanda
 
Humu utatulia alafu utakimbia
 
Do you mean this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…