Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wabongo ni kama mbwa anaypenda kubweka ila meno hana...utaskia wakisema tutawapita, tunawapita, mtajuta..hahahahahaha kumbe hakuna chochote...ni watu maskini wa kutupwa.... LDC wanawinda albino kutafta utajiriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hahaa...wanajipa psych! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
heheheh mpaka portland cement anakuka loss na ndio kiwanda kikubwa cha cement kenya 967m ksh loss hahahhaha aise mumekwishaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe nilikuambia unajifanya sana unajua maswala ya Kenya ilhali hakuna unachojua. Who told you portland cement ndio kiwanda kikubwa cha cement Kenya? Hii habari umetoa wapi? Kijana, hii energy yote ungetumia wewe na wenzako kujiendeleza, nchi yenu haingekua ldc as I type this. You are channeling your energy on very useless things about kenya without knowing that kenya imepiga hatua sana kimaendeleo kuliko nchi yenu
 
Hivi wewe unajua maana ya maendeleo au unaropoka kama chizi?, maendeleo gani kama nchi haina chakula wa maji kwa matumizi ya binadamu?, tafadhali usiwe unaropoka vitu bila kujua maana yake, kwako wewe maendeleo ya nchi unayapima kwa kuangalia vitu gani?
 
ten in an underestimation mate. There waay more school, some do swedish other german etc. However the rich kenyan kids prefer these kind of schools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…