El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Maswali ya aina hii ndiyo yanayowadhalilisha wakenya na kuonyesha ni kwa jinsi gani uwezo wenu wa uelewa ulivyo mdogo, failed state inahusisha vipengele vingi, hiki kikiwa kimojawapo, lazima viwepo vyote kwa pamoja ndiyo uweze kupata hiyo status, US inaweza kuwa na viwili au hata vitatu, lakini kama haijafikisha haiwezi kiwa failed state.
Lakini kwanini ninyi kila kitu lazima mjilinganishe na US?, kwanini usingesema mbona South Afrika wana crime rate kubwa lakini sio failed state, yaani ninyi ni watumwa wa wazungu sana, kiasi cha kuhuzunisha na kusikitisha.
Wanyeri wamechoma gari ya mkikuyu
View attachment 702412
so kenya is a superpower๐๐๐๐๐๐south Africa ni small fish kwa hii dunia...we can only talk of superpowers
uhahaha pole bro kwa maumivu makali sana๐๐๐๐๐๐Unaweza amini kila kitu wewe. Wanyeri ni Wakikuyu unless wataka kumaanisha vingine. Ni kama kusema ''Wamoshi wamechoma gari ya mchagga''! Tunajua unataka kuingiza ukabila lakini huo ulikua uhalifu wa kawaida yaani mob justice.
Police shoot, kill Meru University student leader as protests turn ugly
Please Kenyans, if you want to be respected, you must start to respect yourselves first. Where is the logic of having big houses and good roads but you don't value life?, a student is killed like a wild animal but no one cares you keep on posting photos of buildings as if life to you has less value than those buildings.
What do you think?so kenya is a superpower๐๐๐๐๐๐
when I traversed your country I never saw those imaginary houses you are talking about........please wake up.Why are you an LDC country anyway.....is it that you never want to accept your true state and see how you can improve?Tanzania kuielewa itakusumbua sana.
Hakuna mtanzania mwenye ndoto ya kuishi kwenye apartment mimi mara yangu ya kwanza kuishi kwenye apartment ni University life which I was not very much pleased living in apartment like chicken or cattle
Mtanzania anawaza kujenga nyumba yake kubwa with bigger garden, many rooms, fenced home, privacy, maximum ownership huo utamaduni wa kuishi kwenye magorofa sio utamaduni wa mtanzania.
Tanzania land is bigger and building is cheaper huko kwenu hamuwezi afford kununua land na kujenga your own home ndio maana you opt apartment as your best solution.
Poleni mnaishi kama panya
Hapana, unakosea sana ukisema hivyo. Wewe unafahamu kwamba viongozi wetu wa Afrika na serikali zetu nyingi zina tabia ya udikteta na ukandamizaji, kitu pekee kinachowafanya wasiwe full flagged dictators ni reaction ya wananchi, wakikuta wananchi wenyewe hawajali, wataendelea kutuchinja au kufanya vile wapendavyoSo do you want life to stand still? Unfortunate as it is, life must go on and authorities concerned are on the matter. Your crocodile tears doesn't change a thing! I bet by your assertion,next time a calamity hits Tz we all shut down JF and coil in misery,right?
Sisi kauliwa bahati mbaya na Serikali imechukua full responsibilities, kuanzia mazishi, hadi RambiRambi.. Na amezikwa na serikali..usijihesabie haki.si mumeua mwanafunzi juzi nyie vilaza? ?kwenye msafara wa mamba kenge wamo.
๐๐๐๐๐๐๐ ama kweli kuna watu na viatuWhat do you think?
Even Uhuru Kenyatta would post the same. Viongozi wote wa Kenya wanajua hivyo, it is only few stupid Kenyans who deny this.Wakenya kumbe mnalielewa vizuri Jeshi la Tz[emoji23][emoji23].. Msije mkathubutu, mtanyooshwa kama Suti ya Harusi
Wanalielewa Sana hilo.. Wanabishana tu kukamilisha siku..Even Uhuru Kenyatta would post the same. Viongozi wote wa Kenya wanajua hivyo, it is only few stupid Kenyans who deny this.
Pelekeni jeshi Somalia.. ...kelele mingi hatutakiWakenya kumbe mnalielewa vizuri Jeshi la Tz[emoji23][emoji23].. Msije mkathubutu, mtanyooshwa kama Suti ya Harusi
Somalia mnapelekea nyie watoto[emoji23] Sisi tumepeleka Lebanon, South Sudan, Congo na Vikosi vyetu vipo Karibia Africa nzima..Pelekeni jeshi Somalia.. ...kelele mingi hatutaki
Hao waliosema hivyo ni wakenya, sisi tunanyegiza tu.Pelekeni jeshi Somalia.. ...kelele mingi hatutaki
hawajatuita wao waliwaita nyie tu ili mkapatiwe death certificates ๐๐๐๐Pelekeni jeshi Somalia.. ...kelele mingi hatutaki
Hakuna mtu aliyewaita hao, kiherehere chao ndiyo kiliwapeleka huko, sasa wanatafuta njia ya kurudi hawaioni, wanarudishwa kwenye jeneza.hawajatuita wao waliwaita nyie tu ili mkapatiwe death certificates ๐๐๐๐
Hapa hatuzungumzii awe CCM au chama gani, muuaji ni muuaji tu, sisi huku hatujali sio kama huko Kenya, Jubilee akiua NASA, serikali haishughuliki kukamata watu. Muhimu ni kwamba wote waliohusika na mauaji ya Dar na Moro, polisi imewakamata bila kujali vyama vyao na watapelekwa mahakamani, jambo ambalo sio rahisi kutokea Kenya, hasa pale ambapo Jubilee ndiyo waliotekeleza mauaji, au polisi ndiyo waliohusika.
Katika hili Kenya inajulikana duniani kote kwa maujai ya kinyama na kiholela bila hatua stahiki kuchukuliwa, la kushangaza, wananchi wenyewe badala ya kuungana nankuanza kulipigia kelele, wao ndiyo kwanza wanajilinganisha na Tanzania ambao wapo mbele sana katika kupambana na police brutality.