Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Hehehe,mumewashika hawa vilaza makangari,,,leo hawataonekana hapa wamekunja mikia wamejificha mvunguni mwa vitanda vya mamazao.
 
But but but slums, acha akina ichioboy waamke. Btw I challenge them wapost picha kama hizi

kila mtu humu anapost mazuri ya nyumbani kwao tu,but tumewa charenge muweke hizo slums za tz.imekuwa bla bla bla na kwenda kutafuta za nigeria kutuletea.

dunia nzima inajua dar hakuna slums hata mkenya pia anajua.
 
Hizj gazeti zao ni Analog sana,mbona hazipendezi macho,bure kabisa
Mnataka kugeuza JF kuwa Kilimani mums and Dads?, acheni kuweka magazeti ya kijinga hapa, kama hoja za maana zimewashinda, mrudi kwenye forums zenu mkaanze kutukanana.
 
I don't think the opposition leader was hacked to death 10 years ago.....mmmhh.Why do you like denying any obvious news about Tanzania.....smh.

Then R.I.P to the girl who was shot while going to drop her CV
Mambo haya kwa Tz hutokea nadra sanaa tena kwa bahati mbaya tu. Wazee wa maumau mnauana sanaa hakuna asiyejua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…