Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utasubiri sana, huwa tukitaka kuona slums dunia nzima inatembelea Kenya, Tanzania hatujawahi kuona slums[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Why Kenya could be among failed states
Hahahaha

http://www.outboundexcursions.com/dar-es-saalam/slum-tours-in-dar-es-salaam
 
Nyie hamjulikani mahali popote..ni midomo 2
 
Mwenye hii bĺog ni Mkenya isitoshe yuko humu ndani
Even me i can do that. Stop playing us as if we are fools
Sindano imekuingia taratibu side effects zake ni povu,kutapatapa na denial...ingia kitandani upate kupumzika
 
Sindano imekuingia taratibu side effects zake ni povu,kutapatapa na denial...ingia kitandani upate kupumzika
Mnajitekenya nakucheka wenyewe. Nisawa na mimi nikuletee info kutoka kwenye blog ya Tanzania which almost every IT student in TZ own the so called blog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…