kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
wow!! one million plus view.thead ya kwanza kenyaforum kupata number kubwa ya watembeleaji. hii haijawahi tokea.
asanteni sana wakenya kwa "kutusaidia" kuitangaza tanzania, pia asanteni kwa "kutusaidia" kusambaza agenda zetu kwa kupitia forum yenyu.
hakika ninyi ni majirani wema.mwaka huu mtusaidie kufikisha five million views.
aluta continua..forward ever backward never.