Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where is kibera transformation au unatuona sisi nduza 😀😀😀😀

Munashindwa kuwapa ajira vijana na kupambama na njaa mutaweza kutransform kibera😛😛😛😛

Go on dreaming
 
How comes 54yrs after your independence you still suffer from tribalism, corruption, hunger, crime, poverty, unemployment, police killings and economic inequality while in Tanzania we have managed to reduce all these and some have been eliminated?
 
''Unplanned settlement'' is a sexy name for slum! Console yourself though.
Slum ina maana yake tofaut na unplaned settlements, slum ni worse zaidi ya unplaned settlement ndio maana unaona kibera is among worse largest slum in the world
 
Wekeni basi dar hapa munalia nn sasa😀😀
 

Tatizo ni siasa, kuna kiongozi nilimsikia anasema hamna haja ya kuwabomolea nyumba zao watawapelekea mahitaji kama hospitali hukohuko. Anasema hivyo ili kuwafurahisha wanaoishi hayo maeneo ili waje wampigie kura tena. Lakini kiongozi mzuri inabidi awaumize wachache kwa maendeleo ya watu wengi.
 
loo for example the president is trolled everyday...in tz you dont bishana with magu di uncle
 
Priority setting really matter in this issue brah, kupanga Ni kuchagua
 
loo for example the president is trolled everyday...in tz you dont bishana with magu di uncle
That's why our economy grows at 7%, yours at 4.4%, no corruption, no hunger, no big problem of unemployment, no crime, no tribalism[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
loo for example the president is trolled everyday...in tz you dont bishana with magu di uncle

It is their cultural norm to adore and worship their leaders even if they don't perform as long as there's peace na undungu. Here we call them out and even if they won't respond to our needs at least we keep the pressure knowing we've done our best as citizens.
 
hizi zote ni pesa za Kenya.... walalas mumesikia????? hizi currency zikibadilishwa to your useless TzSh. zinaeza jaza io room hadi zimwagike
 
Kenya Tafuteni kwanza Hospital ya Umma Kubwa Kama hii.. Siku mkipata hata ikiwa 2050 najikatakata mpaka kufa

 
hizi zote ni pesa za Kenya.... walalas mumesikia????? hizi currency zikibadilishwa to your useless TzSh. zinaeza jaza io room hadi zimwagike
Mlipunguza sifuri kwenye pesa yenu kwasababu uchumi ulidorola, thamani halisi ni ya Ksh ni 10th ya sasa. Kajifunze historia ya uchumi wenu kwanza siyo kuja hapa kuhororoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…