Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha na Kenya haiwezi kufikia living standards ya Angola hata watembee uchi wote Nairobi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wacha diamond ajiendeleze...ingawa siskizi nyimbo zake, namkubali kwa jitihada zake...kujinasua toka tandale sio mchezo...haswaa kwa umri mdogo wake....wengine ninaowajua wa miaka 50 na zaidi bado wanapambana na watoto mitandaoni😀😀😀😀
 
Si kila sehemu ya dar ipo unplanned bado haujui vingi sana kuhusu dar.......omba ufunzwe usikariri hizo estate unazozisema dar pia zipo tena kibao.....zipo kila kona ya jiji....na nyumba zakawaida pia zipo...

Na plan iliyopo sasa nikuuwa ama Kulwaondoa sehemu zote zilizokuwa kwenye mfumo wa unplanned.. ,.kila kitu kipo kwenye karatasi na cinatekelezwa awamu kwa awamu na kingine hiyo google earth unayoitegemea endelea kuitegemea hatuna ujamaa na google..na photo nyingi za dar hazipo mitandaoni kwani hata ukitizama picha za dar kupitia google ni zakitambo sana


Nachokushauri endelea kutizama google earth [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nonsense as usual😀😀😀😀
To you and your ilk, ni lazima tu iwe nonsense kwa sababu hakuna siku mmewahi kukubali ukweli. Niliingia wikimapia.org kutazama huo mji wenu nikacheka sana. That's why I like to call it a glorified village. Tengenezeni Dar ndugu yangu. Ni aibu sana kwa mji mkuu kuwa jinsi Dar ilivyo
 
[emoji23] [emoji23] Muggers wanajipendekeza halafu wanaambulia Matusi
 
When will you stop using emojis old man. You acting like a 16yr old girl giggling
H H ama kweli kichapo kimeingia mpaka kwenye medulla oblongata sio kwa povu hili.

Hahaha kadoda11 more syringes please keep injecting
 
angola ni nchi maskini sana...ndio wana uchumi mkubwa ila zaidi ya raia asilimia 70 wanaishi katika umaskini wa kutupwa...shida kubwa kule ni inequality...
 
porojo kama kawaida yako.
Google earth doesn't lie. at long last nimeona dream houses zile zako. Wah! Awacha tu niishi kwa rented apartment in a good estate. Hivi, unafurahia kuita zile changaduo dream house?
 
angola ni nchi maskini sana...ndio wana uchumi mkubwa ila zaidi ya raia asilimia 70 wanaishi katika umaskini wa kutupwa...shida kubwa kule ni inequality...
Kwa vile kenya muna maisha mazuri sana😀
 
Wewe dar imeijulia hapa jamii forum tembea uone mengi ndugu, dar ya leo sio ile ya 90s imejengwa kwa miaka 10 na ndio maama is the fastest developing city in the world , eat that
 
Ebu leta hiyo link inayosema Angolans have better living standard than Kenyans
Are you planning to moon on us all? Stop talking nonsense, Angola like Tanzania we are not your type hunger stricken failed state
 
Pitieni Comments zote zile then mcheke kwa sauti [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] Nigeria wanajua kuna biggest slums in the world lipo Mjini karibu na cbd nyie wanaijeria Mungu anawaona sio vizuri
 
Wewe dar imeijulia hapa jamii forum tembea uone mengi ndugu, dar ya leo sio ile ya 90s imejengwa kwa miaka 10 na ndio maama is the fastest developing city in the world , eat that
Naona Google earth pia haijawahi update site yao for the last ten years wakingoja Dar ijengwe kwanza. Hii dar yenu haifai hata kulinganishwa na Kigali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…