Usifundishe watu kazi,tofautisha izo nyumba na yale mabanda yenu...tofauti ni kubwa sana,izo ni nyumba zinabati na kuta safi tatizo mpangilio wake ndio kimeoAngalia slums zilizopo Dar na ucompare na Nairobi
Satellite map of Nairobi Area / Kenya
Satellite map of Dar es Salaam
Let us just be honest, using those satellite images.......are Nairobi slums really as large as the NGO agencies claim really? Look at Kibera.
But look at Dar, the built up areas are concentrated in the one side, all the other rest is.......well, all trashy residential areas.
Hii sasa si Dar ya 2017, ni ya 2020?
Mnakaa mnakutupuka kwamba mnamiundombinu bora kuzidi hadi south Africa, ahahahah sahv mnajiita world class city,izo obbsession zenu muda wake bado sana....na izo slums mlivyozitenga ndio haziji kuisha zaidi zitaongezeka....mtabaki kuimba world class city..utopian
Ndio, nimetofautisha.........Usifundishe watu kazi,tofautisha izo nyumba na yale mabanda yenu...tofauti ni kubwa sana,izo ni nyumba zinabati na kuta safi tatizo mpangilio wake ndio kimeo
Photographer wetu wanairobi endelea kutuonyesha nyumba zilezile asubuhi mchana na jioni. ....ongeza doseNairobi is the most habitable city in Africa, coolest and beautiful
Mabanda za Nairobi vs DarUsifundishe watu kazi,tofautisha izo nyumba na yale mabanda yenu...tofauti ni kubwa sana,izo ni nyumba zinabati na kuta safi tatizo mpangilio wake ndio kimeo
Umeona slums....hizo ndizo zinaitwa slums. Kibera ingawaje mbaya, kwa ukubwa ni mtoto sana ukilinganisha na size ya hizo "unplanned settlements" (I understand u dont want to call them slums) zenu.Usifundishe watu kazi,tofautisha izo nyumba na yale mabanda yenu...tofauti ni kubwa sana,izo ni nyumba zinabati na kuta safi tatizo mpangilio wake ndio kimeo
Ahahaha basi sawa nikausheUmeona slums....hizo ndizo zinaitwa slums. Kibera ingawaje mbaya, kwa ukubwa ni mtoto sana ukilinganisha na size ya hizo "unplanned settlements" (I understand u dont want to call them slums) zenu.
my comrades are doing a great job regarding your link.Angalia Dar.......Satellite map of Dar es Salaam
Wapi!!! Macho yako yanakuhadaa, naona TZ mmeishiwa mmeanza porojo na hadithi!!? tuusanPhotographer wetu wanairobi endelea kutuonyesha nyumba zilezile asubuhi mchana na jioni. ....ongeza dose