Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Jam Tz ni balaa aje? Hamna barabara?? 20km for 46mins nai 14km for 23min..

sa si uulize google!!!we jamaa vip??

halafu nakuona mtanzania[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na sheng zako za kiboya,we jamaa ni faraaaaa.
 
wewe mbona unakuwa muongo, kwa maana hiyo nikienda kwenye supermarket za kenya naweza fanya malipo kwa crypto currency (bitcoins)?.

nitajie majina ya malls/supermarket nchini kenya zinazo accept crypto currency. taja nikuvuwe nguo.

Bitcoin moja tu kuipata sahivi ni kimbembe halafu anatwambia kuna wakenya wanalipa kwa bitcoin.
 
Bitcoin moja tu kuipata sahivi ni kimbembe halafu anatwambia kuna wakenya wanalipa kwa bitcoin.
bwege yule.
kuna assignment moja nimempa tangu jana usiku kuhusu kunitajia majina ya malls au supermarket za kenya zinazo accept bitcoin, mpaka leo kashindwa kuikamilisha.

wakenya wana uongo wa kishamba sana, mbaya zaidi wanajaribu kutudanganya hata sisi ambao kidogo tupo exposed na masuala mbalimbali ya kimataifa.

nasubiri arudi na hiyo mada yake ya bitcoin nimuulize maswali zaidi ili nipime uelewa wake kuhusu crypto currency.

anadhani ile ni sawa na huduma ya mpesa kupitia mtandao wa safaricom. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nilidhani ougadougou ama bamako
apart from parking cars, i'm not seeing any left garbage in our cbd.

now compare with this... nairobi cbd recent photos.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…