Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulikuwa sumbawanga maeneo gani?mi ni mwenyeji huko.
 
hasira leo imekukumbatiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yaani hadi J456watt katukana hivoo leo...!!!?

We ichoboy01 usimuuzi sana banaa J... jamaa ana temper, ila mmh hajamfikia COLLO-MZIIH...
 
Yaani hadi J456watt katukana hivoo leo...!!!?

We ichoboy01 usimuuzi sana banaa J... jamaa ana temper, ila mmh hajamfikia COLLO-MZIIH...
heheh wajukuu wa kenyatta wanahasira sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
unafaa uishi nairobi hata wiki moja tu...weather shwari kabisa..huko Dar sijui huwa mnaishi aje huko..nchi yenye joto kana kwamba mpo kwenye oven.
current weather forecast in some part of kenya.tazameni wenyewe kiwango cha joto... ni kama wapo jehenamu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

halafu nimeamini kweli kenya ni cursed state,almost large part of the country possibility of rainfall is zero parcent. ndio maana kila wakati mnakabiliana na njaa.njaa haiwezi kuwaacha salama. watakwambia ati ooh you know kenya is semi arid.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]



NB
kigoma, tanzania. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
mwarabu shopkeeper unauza xiaomi mi mix 2 nikutumie pesa uniwekee DHL
sina duka ndugu wala sihusiki na biashara za simuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ labda nikuuzie hii iphone 7 yangu
 
mwarabu shopkeeper unauza xiaomi mi mix 2 nikutumie pesa uniwekee DHL
ban imekunyorosha...naona kwa sasa una una comment kwa adabu.asanteni sana moderators.

na ukileta ujinga tunakupa life ban.
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…