Wakora wametoka wapi kwa hiyo pichatakataka...mji wa wakora.
where is montave and pinnacleππππKilling who?
Seems you are in proconsul stage
and you dont know Avic,Pinnacle,montave and the new kid Cytonn
wanajenga kwenye karatasi badoπππKeep digging Your renders grave
ziko wapi sasa ππππWe are erecting supertalls
complexes
mixed use developments
cha ajabu inawanyima usingiziπππhas been tallest building in EA for over 30 years....wakati Dar ndio inajengwa kuanzia 2015πππ...huwa tunawaambia Kenya sio kiwango kimoja na hawa jamaa hawatuskii
Hahaha sikua na cake buda...siumeona nilikua kimya tu....,niko kijijini sahv so kuna uhaba wa vitu kama ivyo na kazi zimetight vilivyonimesubiri keki sijaona...ama wewe ni wale wachoyo wa mlo?πππmtu akibisha hodi ukila unaficha sahani chini ya kiti mara mojaπππ
Mliman city wangejenga kwa Kwenda juu nadhan wangefunika sana...sema nn apo mliwezaView attachment 692228 These are what we call malls in Kenya not those flats in mwanza.
Mtashangaa sana. Avic iko 16th floor as I type this na itakuwa 43 floors highziko wapi sasa ππππ
Hizo ziko mingi Nairobi hadi tumechoka kuziona. Na sio moja au mbili. Nashangaa ndio mnajenga flyover ya kwanza Dar 2018! You should be ashamed of yourselves
Hii sio render wakola
nimeuliza pinnacle na montave ππππMtashangaa sana. Avic iko 16th floor as I type this na itakuwa 43 floors high
Tuliweza kwa sababu it is the biggest mall in east and central Africa. How about that? And by the way uliacha kushtuka ma kuuliza uliza maswali kuhusu Nairobi?Mliman city wangejenga kwa Kwenda juu nadhan wangefunika sana...sema nn apo mliweza
Wote ni investors. Ama unamaanisha nini unaposema investor?nimeuliza pinnacle na montave ππππ
avic mshukuruni sana investor mchina ππ
hio sio ile flyover ya kupanga matofali hio ni one of the modern flyover in east africa nduguπππHizo ziko mingi Nairobi hadi tumechoka kuziona. Na sio moja au mbili. Nashangaa ndio mnajenga flyover ya kwanza Dar 2018! You should be ashamed of yourselves