joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
5.5 Millions Tanzanians are middle class, and the number is increasing, that is 10% of the populatio.kuna Tables/Charts kwa hii thread.... pitia pitia tu, utaona Kenya's Middle Class ni wengi kushinda Tz, Ug, Rwanda, Burundi combined
Hehehe maumivu makali😀😀😀😀
Endelea kuota tu maumivu yakokushika muone daktari😀😀😀😀😀😀
Maana shop kuna godoro umia tu
View attachment 691776
Ile ya kwako Bwana collo Iwapi uliyoandikaHuyu jamaa anafanya kwa shop jooh
Nilitaka uweke picha zake tena.Ilikuuma sana kumbe 😀😀😀😀
Iphone X imekuumiza sana
piga picha urudishe kwa box ....naona stock zako hazinunuliki.........
hivi kumiliki simu ya ks 170k ni kitu cha ajabu huko kwenu eh???
tukiwaambia mko na uchumi wa uongo mnabisha,immagine hata wewe si miongoni mwa upper middle class wa kenya na unashangilia kuishi nchi ya UMC.
Punguza hasira na wivu😀😀😀😀piga picha urudishe kwa box ....naona stock zako hazinunuliki.........
Akikuonesha tu nitag😀😀😀Ile ya kwako Bwana collo Iwapi uliyoandika
[emoji116] [emoji116]
Sent using iPhone 7[emoji23]
kadoda si alipjgwa na butwaa na kutaja mshahara ya 130k
Ichoboy kununua iphone X munatokwa na mapovu namna hiii😀😀😀😀😀Nilitaka uweke picha zake tena.
Hapa ni kwangu godoro ni langu 😀😀Na icho mbona izo picha zako zote ni kwa hiyo hiyo godoro...kwani wewe hushinda indoors kila siku.?
ama ni kwa company unaishi
Weka pichaIchoboy kununua iphone X munatokwa na mapovu namna hiii😀😀😀😀😀
Kweli Colloh kinyonge Tafuta hata iPhone 7 ya kuazima umlingishie Ichoboy01 buda . Mbona wakenya siyo wajanja nyie ningekua ndiyo ww nishaazima iPhone siku nyingi na proove hapa halafu namrudishia mwenyenayo.Da unanyamazishwa kinyonge kama Wanjala budaaaaa [emoji124] [emoji124]Huyu jamaa anafanya kwa shop jooh