Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sikutaka kukukosoa ila ujinga wako ulipofikia inabidi
View attachment 691599
Shule ulienda kutafuna vitumbua wewe[emoji1] [emoji1] [emoji1], au elimu yenu inazingatiq zaidi kufundisha ukabila sio zaidi ya hapo, hizo ni batches mbili tofauti, aina ya kwanza ya hizo train zinatumia diesel engine, na batch ingine inatumia umeme, sawa na Landcruiser TX inayotumia petrol engine, na ingine inatumia Diesel, hakunq gari moja inayotumia engine mbili tofauti, kubali ukweli kwamba mlikosea kununua locomotives za zamani zisizoendana na technologies ya kisasa ili angalau murekebishe makosa kwa kujifunza toka Bongo
 
fanya hesabu yako poa ety 70% kwani haukuenda shule?
 
Tanzania has all those too
 
sikutaka kukukosoa ila ujinga wako ulipofikia inabidi
View attachment 691599
hio ni kenya trainπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hvi wewe mbona hua unakua kama kenge hvi mm nimekuambia niletee link ya kenya train za sasa hvi ni electrical unaniletea link haina mahusiano na train yenuπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ na still hujui maana ya diesel electric train

kwa manufaa zaidi pitia hapaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
G'morning....naona mnazidi kuwekana sawa hadi kieleweke,Haha Kadoda,ichoboy,Ndinda,colloh,Jay,Elmat,Kichwangumu,Wadau wote humu kama nimekusahau don't worry Today is my birthday. ...Happy birthday to me!!

Happy Birthday bro...tukutane baadaye humu ndani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mchina anawaua kimya kimyaπŸ˜€πŸ˜€
Economy class from 700 to 1200
1st class from 3000 to 5100 ksh

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…