Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanyama Leo yuko ngangari sana against Liverpool at Anfield pia kama sijakosea HSBC series inaendelea fungulia King'amuzi chako ujionee bendera ya Kenya ikepepea kati ya mataifa mengine makubwa huku huku nyinyi mkitulia vijiweni.
Alafu utasikia wanavyojigamba hapa eti "we have the biggest, most modern stadium in east Africa." That is a white elephant danganyikans. It hasn't propelled you to international arena in any sporting activity. By the way Tanzania inajulikana kwa mchezo gani internationally? At least Kenya inajulikana kwa riadha, cricket, women's volleyball, rugby and many more
 
Narudia kwamba whether mimi ni mweusi kama lami sio hoja. I can PM you my photo to make your own judgement about how "dark" I am. But at least I told you my mind, stop double speak. Wewe ni mwafrika kama mimi na wengine wote hapa ndani. Sasa tukibaguana humu ndani wenyewe kwa wenyewe wazungu watafanya nini? Ndio maana nikasema hayo ni mawazo ya kijinga
 
Chocha tu.
 
Mchezo wa kukurupuka na mipovu waachie Watanzania. Tuta tuna ndiyo wamebobea.
 
We umeona kuna msongamano Wa Magari hapo? Dar sio kama Nair robbery mpaka ngombe wanapita kwenye sehemu za Magari..
Hahahaha halafu hata mimi nashangaa kweli , yani wapi proper city unakuta ngombe wanazunguka zunguka labda india..
 

Wanaamini kuwa mweupe ni kuwa mrembo. Hapo Nairobi,Taveta Street kwa cosmetics ni watz hununua skin-lighteners kwa wingi hata kushinda Congolese! Wao husema,''Weusi huzaliwa nao,weupe hununuliwa dukani''! Very illiterate!
 
We umeona kuna msongamano Wa Magari hapo? Dar sio kama Nair robbery mpaka ngombe wanapita kwenye sehemu za Magari..
Kenya in East Africa is gradually becoming a very lucrative market for vehicles. Currently,the statistics indicate that there is a vehicle for every 30 Kenyans. With a bursting population of40 million plus,more than 10,000 vehicles are sold in Kenya annually.

In Tanzania , it is hard to put a stable number on the figures of the sales, owing to the fluctuating currency. However, there is a vehicle for every 47 people,quite a low vehicle to people ratio.
 
Povu lote hilo lanini
ulipaswa kupinga au kukubari Hayo maelezo ya nikweli au la!
 
Chocha tu.
Lile bandiko la GDB ndio lilikurestisha muda wote saivi ndio umepata nguvu ya kupost lugha zisizoeleweka?

Exposure is so expensive to the most of you plus ignorance especially you karumekenge
 
si nadhani ni matajiri sana,,you mean kenya magari ni mengi with less population
 
si nadhani ni matajiri sana,,you mean kenya magari ni mengi with less population
blietz nadhani wewe sio mkenya na kama ni mkenya basi ni wale vijana wa kikenya ambao wapo vizuri sana kichwani.

nimekuwa nikikufatilia sana. huzungumzii vitu kwa emotions kama wenzio.nawazungumzia "muggers" likes of collo, mwaswast et al.[emoji23]

umemuzungumza issue yenye logic sana.ila kwakuwa huyo jamaa ni kati ya wale blind patriot wa kikenya, usitegemee jibu lenye manufaa.
 
Na ninyi muache kushabikia kiingereza kwa madai kwamba ni lugha ya dunia, acheni mawazo ya kitumwa kwa kushabikia lugha za kigeni. Ninyi wenyewe mlimsikia Amina Mohamed akilalamika baada ya kushindwa uchaguzi kule Ethiopia, kwamba bara la Africa limegawanyika kimsingi ya lugha za kigezi, Anglophone and Francophone, vipi ninyi bado mnaendekeza kiingereza?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…