Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anna, ulifika JamiiForums.com ku-engage waKenya ukadhani umefika London???
 
jamaa wanahitaji waokota machungwa kwenye mashamba yao...kiwango cha mshahara wameambatanisha kwenye tangazo.

this job can be very helpful for majority of unemployed youth in kenya.

muggers, this job advert is for you....pls don't hesitate to apply.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
hilo la kuhofia wakora hata mimi huwa linanitokea sana.

yaani nikifika tu nairobi nakuwa street smart ten times tofauti na vile ninavyokuwa dar.mtu akinifata kwa nyuma nahisi ni mkora anayepiga mahesabu ya kuniibia. nitafanya kila mbinu mimi niwe nyuma yake.

huwa siamini mtu, hata hotel attendant huwa simuamini. pia huwa siamini vyakula vyao,vilishawahi kuchafua tumbo langu siku moja nikiwa kwenye bus nikitokea nairobi kwenda mombasa.
 
Another Upcoming District. Photos taken from very very far from a fast moving boat, too much shaking and That’s why bad quality.








[emoji15] [emoji15] what the f**k woow it's....!!?

The best Modern City in the region
 
I see no City Centre there.... Yaan ni Kinondoni tuu

Ingepigwa Nairobi, ungeona Old CBD, Upper Hill, Kilimani, Ngara na takataka zao wanazoziita CBD
 
Ref.. Maana ya Serikali,..siasa na uraia , shule ya msingi. Serikali ya Tanzania ni watanzania.. And collectively we own our land.
That's the ujamaa mentality I have been refering here all the time. The reason why you are still an ldc 50 years tangu mpate uhuru. Aibu ulioje!
 
Ndio next time ukikam Kenya ukuwe mjanja. Si kila time unakenua kenua meno kwa majengo marefu na kusalimia kila mtu barabarani.... jipee shughli
 
asante kwa porojo.

siku ya kwanza kufika nairobi ilikuwa ni mwaka 2005....nikiwa mitaa ya cbd, nilikuwa nashagaa vile wakenya mlivyo weusi.nikawa najiuliza mbona hawa watu weusi sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You danganyikans are so full of double speak and double standard. How many times have you castigated us Kenyans for not being patriotic Africans, that sisi ni watumwa wa wazungu na kwamba tunaabudu wazungu? Then how comes you are now not proud of the African skin? Mbona unamawazo ya utumwa? Mbona unafikiri kwamba kuwa na ngozi nyeusi ni laana? Mbona unashangaa kumwona mwafrika mwenzako akiwa na ngozi nyeusi? Je, wewe uko na white skin? Unamawazo ya kijinga sana tena sana. I thought ujamaa Iliwafundisha kupendana kama wafrika, na uafrika ni ngozi nyeusi. I was wrong
 
Jiwe gizan, inaelekea wewe ni mweusi zaid ya giza, sio kwa povu hilo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Any way, I guess alikua anataka kuwapandisha hasira tu na lengo lake limetimia, bt don't take it so serious si unajua nyie ni watan wetu wa jadi, Hahahaa
 
Those are dwarf towers u can't compare such to towers along Mombasa road,thika road kilimani or hurligham
 
Whether mimi ni mweusi kama lami au mweupe wa weupe si hoja. La muhimu ni kwamba tangu nizaliwe sijawahi ona mwafrika ako na white skin, even half casts hawakuangi na white skins. Ninachoshangaa ni pale mwafrika anapomwita mwafrika mwenzake mweusi. Kwani yeye ni mzungu? Hayo ni mawazo ya kijinga sana.
 
duh, umeandika kwa uchungu sana.. basi samahani buda... sitorudia tena kuwatania wakenya kuhusu weusi wenyu usio wa kawaida.

never thought this issue could reach this far...i swear, i will never again make fun your darker skin.i'm sorry.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…