mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Bona izo....me artist wenu wanapenda kutembea msa...Mombasa ni mji mchafu sana, nlikuwa hapo Last week, barabara za hovyo mashimo mashimo, ni vile vigari pathetic mnaita matatu,what a shithole city
Umechoka buda,kunywa majistop wasting so much of your time on these people......
Ur been fucked out by....only two towerHiv Nairobi shida ya Maji vip ishaisha??
Miami USA
Jamaa unadugwa na nn nishow..ur better of road
Ur been fucked out by....only two tower
Jamaa kakimbia collo Icho anakuita anataka muyamalize
Kenya hamtokaa mje kufikia hapaAta me nlikua dar last month mji ovyoooo...unapotoka tu cbd unakutana na vitu vya ajabu, barabara shida daaah ata sijui mnaishi vipi........alafu ile airport huwa mnaisifia hapa I swear eldoret international airport ni better...........but I agree with you Mombasa imekua chafu offlate hope viongozi watashugulikia hilo jambo
hahaha.....wanajaribu kushusha bendera konyonge.@J456watt kawashawishi wenzake PM wasi comment wala kuchangia chochote humu
Wanataka battle iishie hapa