joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mimi binafsi sijawahi sifia utajiri wa mtu mmoja mmoja, na mtanzania anayefanya hivyo inawezekana anafanya hivyo kama kujibu mapigo ya ninyi kusifia idadi yenu ya milionea, lakini ninyi huu ndiyo wimbo wenu kila mara mnaposhindwa kupata mambo ya kuisifia nchi yenu huwa mnakimbilia kwenye idadi ya watu maatajiri, hovyo kabisa.We jamaa huwa uko empty kwenye ubongo afu unajiona mwerevu sana...haya nijibu, wakati huwa unakuja kusifia kale kabillionare kenyu kamoja na 79% ya watanzania ni maskini wa kutupwa fahari ndo ipo wapi hapo??watanzania wenzako wanaona heri kupitia shida wakiomba omba mijini Kenya kuliko kuishi Tanzania fahari ipo wapi hapo??....yani ukisema wengine hawana akili mtu anaezadhani we mwerevu kumbe akilini umejaza tu maji
Wewe......Kama umeshindwa. Na hoja semaMimi binafsi sijawahi sifia utajiri wa mtu mmoja mmoja, na mtanzania anayefanya hivyo inawezekana anafanya hivyo kama kujibu mapigo ya ninyi kusifia idadi yenu ya milionea, lakini ninyi huu ndiyo wimbo wenu kila mara mnaposhindwa kupata mambo ya kuisifia nchi yenu huwa mnakimbilia kwenye idadi ya watu maatajiri, hovyo kabisa.
Ata awe timamu ama si.timamu..wote. Ni bongolala soo acha.kunyambanyambaAcha upimbi braza
Mtz anaeombaomba Ke atakua ni kichaa labda, hakuna Mbongo mwenye akili zake timamu avuke boda aje kua ombaomba huko.
Achana na huyo kuziiiKwani aliekwambia barabara hakuna nani???
Tena hakuna nchi imejitahidi sana kujenga barabara kwa muda mchache sana kama tanzania
Reli inaumuhimu sana pia hasa SGR ni muhimu sana tena sana
acha kolo mwizi aendelee kufuga vimifugo vyake vitatu ushago kwao... hayo mambo ya iphone utasababisha jamaa atoe povu bure.Collo mzii hatima my new baby amewasili
iphone x 256gb
View attachment 687788 View attachment 687790
Hoja ya kusifia milionea 10,000 wakati watu milioni 4 wanakufa njaa?.Wewe......Kama umeshindwa. Na hoja sema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hoja ya kusifia milionea 10,000 wakati watu milioni 4 wanakufa njaa?.
wataelewa tu.while yesterday some of them were celebrating about the swearing-in of their "second president", today our president will be launching a digital passport.
go go go tanzania... hapa kazi tu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
acha waendelee kuimba wimbo ldc.....vitendo ni zaidi ya maneno.wataelewa tu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wameshakata tamaa katika vita dhidi ya njaa, unemployment na land grabbing, tegemeo lao ni Tanzania kuwa ndiyo chimbuko la chakula, ajira na kujipatia ardhi.Wakati tanzania inafanya jitihada ya kupunguza unemployment kwa speed kubwa wenzetu ndo wanazidi kuongeza unemployment rate
View attachment 687960
Kwa ardhi na ajira kwa tanzania hio wasahauππππWameshakata tamaa katika vita dhidi ya njaa, unemployment na land grabbing, tegemeo lao ni Tanzania kuwa ndiyo chimbuko la chakula, ajira na kujipatia ardhi.
Chonde chonde, mpende jirani yako kama unavyojipendaKwa ardhi na ajira kwa tanzania hio wasahauππππ