Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha dharau hawa majamaa yanadharau Burundi siyo unayoiona al jazeera and other mainstream media brother

Unajua hawa wakorogocho,wanayo kasumba mbaya sana juu ya nchi nyingine za africa,hasa majirani zao.

Imafikia hatua hawaamini wanayoyaona,hivyo wanaamua kutokubaliana na ukweli wowote.
 
I always say you Tanzanians suffer from ujamaa slavery mentality. You believe eveything good in Kenya was done by the white man wakati sisi tukijenga nchi yetu you burried your heads in the sand in a stupid philosophy called ujamaa
kilio hakitakusaidiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ 55b kenya vs 51.3b tanzania
world bank report october 2017
 
They'd rather cut down trees and build Swahili villages than conserve the environment. While the world is embracing green living, them they see it in a different and backward manner. Then you wonder why they are called ldc

WTF? have you ever been in Mbeya or Kagera
Sikatai manyang'au wanakata sana miti but kuna part ya nchi raia wanajielewa kuhusu kuwa na mazingira green
 
na report la least developed countries mnakataa.....you Tanzanians are a strange species.....si mkubali zote
hio report hamuipendi hahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
munapenda sana mambo yakupika data kwasababu ndio mumezoea hvo, dunia ya leo utamdanganya nani???
kila mtu mjuaji utamdanganya nani????πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Mmeshindwa kucounter na mapicha ya estates zenyu sasa mnajaribu kuchange mada [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...hii ndo inaitwa kupigwa kama mbwa imeiba nyama..hebu nyi watanzania mtuprovie dar es salaam is not 70% slum
 
Mmeshindwa kucounter na mapicha ya estates zenyu sasa mnajaribu kuchange mada [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...hii ndo inaitwa kupigwa kama mbwa imeiba nyama..hebu nyi watanzania mtuprovie dar es salaam is not 70% slum



walete mwanza Arusha na didoma zote tuwaanzie na estates za Thika road sasa...sio eastlands hahaha
 
walete mwanza Arusha na didoma zote tuwaanzie na estates za Thika road sasa...sio eastlands hahaha
hvi wewe estate za nn wakat kila mtu ana nyumba yake tena house of his or her dream, munafurahia kukaa kwenye nyumba za kupangisha za investors hamuna ardhi ya kujenga, tanzania kila mtu anamiliki ardhi yake na kujenga nyumba anayoitaka yeyeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
bag of excuses.....I also don't question all the Omani Arab properties in dar
The point here is civil servants not private sector, why only Kikuyu and Kalenjins?, that is one among the reason your economy is very unfair. Back to your point, can you give evidence of Arabs buildings in Tanzania?, we own our own economy under stewardship of our Government, 80% of big buildings belongs to the people of Tanzania.
 
kwanza mueleze kua huwez kumiliki ardhi tanzania kama sio mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…