El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Wewe unacompare picha ya Nyayo Estate, eastland na Masaki! hata hauna haya. Sasa tukileta picha za Runda, Muthaiga na Karen mtalinganisha na nini?
hahaha hata sijaguza rich estates za Nai jamaa imetoa oysterbay na masaki....
sasa wacha niwapeleke langata