Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ndio alama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ haya tuchukulie afcon isingekuwepo kungekua na alama mbadala? kiwanja kimoja kimekula 330b haya tuulizane mm na ww return yake itakuaje? itarudisha hela yake au ndio baada ya afcon inabakia white elephant kama ile ya znz fumba 400b ambayo baada ya afcon nani atakwenda kucheza huko? na je pesa yake itakua ni kushnehi babujii

deni la taifa limetoka 59 trillion mpaka 115+trillion in just 6 good years haya tuulizane mm na wewe kuhusu miradi hio
Kumbe waliosema wewe kinachokutesa ni chuki walikua sahihi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa hapa umeandika pumba gani.? Kujenga viwanja na masuala ya deni la taifa vinahusiana vipi.?
 
Sijui kama ni mzima wewe, kwamba tunajenga viwanja ili virudishe hela kupitia Afcon.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii kali mzee.
unajenga vya nn ikiwa mkapa renovation imetushinda what about their maintenance au ndio zitageuka kama mkapa stadium ambayo imekua mwiba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tujiulize maswali ya msingi tu unajenga dodoma wakat haitakua kwenye mpango wa afcon na wamekiri wao wenyewe haiko kwenye mpango so far, au kazi ni kusifia bila kuangalia mahitaji sahihi kwa muda huu

unatumia 400b kujenga fumba ambayo baada ya afcon nani ataenda kucheza hapo na what about their maintenace ???
 
Kumbe waliosema wewe kinachokutesa ni chuki walikua sahihi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa hapa umeandika pumba gani.? Kujenga viwanja na masuala ya deni la taifa vinahusiana vipi.?
ili kunielewa mm ni lazma uondoe uchafu wa uchawa kichwani nje ya hapo huwez kunielewa kwakua viwanja vinajengwa kwa kutumia mawe sio pesa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ni lazma uondoe huu uhayawani๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿป ili unielewe mm bro

View: https://www.instagram.com/reel/DfuWWPIsIh4/?vrfl=d3RkMDJmdG42bGdh
 
unajenga vya nn ikiwa mkapa renovation imetushinda what about their maintenance au ndio zitageuka kama mkapa stadium ambayo imekua mwiba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tujiulize maswali ya msingi tu unajenga dodoma wakat haitakua kwenye mpango wa afcon na wamekiri wao wenyewe haiko kwenye mpango so far, au kazi ni kusifia bila kuangalia mahitaji sahihi kwa muda huu
Acha kuongea utumbo walau uanze kuongea nyama mzee. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ asa hizi zako ni hoja gani za kiwehu.?

Unajua kwamba ulikua ni mpango wa serikali kujenga uwanja mkubwa wenye hadhi kule dodoma ili kukidhi mahitaji ya makao makuu ya nchi.?

Ukiachana na fact hiyo, sisi kama nchi na ukizingatia ukuaji wa league yetu ya ndani, je hatuhitaji venues za kisasa ili kuendana na uhalisia wa ukuaji wa michezo yetu.?

Nchi yenye wakazi 70 million na uwanja mmoja tu mkubwa wenye hadhi ya kimataifa, ni dhambi kuongeza viwanja walau viwili vya kimataifa tena katika miji muhimu kiuchumi katika nchi hiyo.?

Unaleta chuki kwenye mambo ya maendeleo mzee.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unaita watu machawa kwa kusema ukweli. Huu si ni upumbavu wa kiwango cha SGR. .?
 
๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป
ili kunielewa mm ni lazma uondoe uchafu wa uchawa kichwani nje ya hapo huwez kunielewa kwakua viwanja vinajengwa kwa kutumia mawe sio pesa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ni lazma uondoe huu uhayawani๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿป ili unielewe mm bro

View: https://www.instagram.com/reel/DfuWWPIsIh4/?vrfl=d3RkMDJmdG42bGdh
 
ili kunielewa mm ni lazma uondoe uchafu wa uchawa kichwani nje ya hapo huwez kunielewa kwakua viwanja vinajengwa kwa kutumia mawe sio pesa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ni lazma uondoe huu uhayawani๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿป ili unielewe mm bro

View: https://www.instagram.com/reel/DfuWWPIsIh4/?vrfl=d3RkMDJmdG42bGdh

Unaendelea kudhihirisha upumbavu ulionao eeh.? Hii nayo ni hoja yako pia ya kujitetea.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Acha kuendeshwa na chuki mzee. Tena chuki za kijinga tu za kupandikizwa zisizokua na kichwa wala miguu,

Kwahiyo kisa tunadaiwa ndio tusijenge viwanja.? Kenya unaowasifu wanadaiwa karibu mara mbili ya deni letu na still wamekopa na wanajenga viwanja hata kama ni maviwanja mabovu kwenye miji yao yote. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unajua kwa nchi kukuza michezo ni pamoja na kuwa na facilities za kutosha kuipa nguvu sekta ya machezo na wachezaji wenyewe.? Bila viwanja hao watu watacheza chini ya mwembe au.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unaongea sana utumbo, anza kuongea Nyama kaka.
 
๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป
Huo ndio uleule utumbo niliosema unaongea, anza kuongea nyama mzee. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Acha kuongea utumbo walau uanze kuongea nyama mzee. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ asa hizi zako ni hoja gani za kiwehu.?

Unajua kwamba ulikua ni mpango wa serikali kujenga uwanja mkubwa wenye hadhi kule dodoma ili kukidhi mahitaji ya makao makuu ya nchi.?

Ukiachana na fact hiyo, sisi kama nchi na ukizingatia ukuaji wa league yetu ya ndani, je hatuhitaji venues za kisasa ili kuendana na uhalisia wa ukuaji wa michezo yetu.?

Nchi yenye wakazi 70 million na uwanja mmoja tu mkubwa wenye hadhi ya kimataifa, ni dhambi kuongeza viwanja walau viwili vya kimataifa tena katika miji muhimu kiuchumi katika nchi hiyo.?

Unaleta chuki kwenye mambo ya maendeleo mzee.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unaita watu machawa kwa kusema ukweli. Huu si ni upumbavu wa kiwango cha SGR. .?
unajenga viwaja vitatu vya nn ikiwa kile ulichonacho kimekushinda, arusha its okey vipi kuhusu dodoma ambayo haitatumika afcon? vipi ile ya fumba ambayo baada ya afcon inageuka kua white elephant

sio kujenga tu waza na maintenance cost yake leo mkapa imekula 32b na bado haina sifa za kucheza afcon, uhuru imekula 19.6b haina sifa vile vile ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ili kunielewa mm lazma utoe akili za kichawa kichwani kwanza ๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป

View: https://www.instagram.com/reel/DfuErUqiAlR/?psln=MmZubXhheTUzb2hu
 
We jamaa unafikiriaga na miguu au.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwamba uwanja wa dodoma hauna tija.? Hauna faida .? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ulitaka uwanja wa mkapa usifanyiwe marekebisho, unajua kama uko pale kwa zaidi ya miaka 20.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hata kama mtu unamchukia hauwezi kugeuza ukweli kuwa uongo mzee, watu wote tuna macho na tunaona yanayoendelea nchini. ichoboy01 usijekudhani utawahi kupotosha ukweli humu mzee. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom