Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kaa ukijua chochote utakacho potosha hapa nitakujibu kwa hoja.
Mfano issue ya sukari hujarudi
Issue ya stendi ya mabasi Geita hujarudi
Issue ya cable car hujarudi
Issue nyingi ukijibiwa hoja na ukweli hurudi unakimbia kubadilisha mada.
Una uwezo mdogo wa kufikiri kama hao unaowatetea.
yes jibu kwa hoja, nakuthibitishia tanzania inaingiza sukari kutoka nje tena zaidi ya tons 350,000 ( viwandani na majumbani) na tena kampuni anayofanya jamaa yangu ni mmoja wa importers wa sukari kutoka nje 😂 yani hilo sihitaji hata ushahidi manake ninao mwenyewe

unless nithibitishie toka ahadi ya cable cars ilioanza 2020 mpaka leo hii imetekelezeka ili
mm nifunge acc jamii forum sasa hvi😂😂

hakuna hoja utaniambia ambayo mm siifanyii kazi, na ukiona jambo nimelizungumza basi ujue nimefanya utafiti wangu, iseue ya sukari achana nayo bro ni very deep tena kuna ufisadi uliotukuka kwenye hio issue
 
Wewe huna hoja zaidi ya maneno mengi, nilikuwa nawashangaa wanaokutukana kumbe walisha notice wewe ni kilaza na huna hoja.
 
Back
Top Bottom