Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,379
- 108,067
Kwani uongo? Project imechelewa!hii project watu wanaisubiria kwa ham sana kiasi kwamba wanaonekana wako slow wanaopiga kazi kumbe ni urefu wa kufika dodoma ambao kwa gari unatumia sku 2 😂
kuna kaukwel, lakini sio watu wanavoiweka 😂 😂 😂 😂 juzi kuna jamaa alisema mradi wa kufika kigoma utaisha 2028 lakini bado watu wanauliza inaisha liniKwani uongo? Project imechelewa!
Hapo alitamani iwe imeandikwa Tanzania. 😂😂😂kwan mwanetu umecho kutetea kibera au?
That building was built in 1973 when Dar is slum was still a fishing village with nothing to write home about na babako na mamako hawakuwa washapatana and it's still standing strong. Ukidhani litadondoka utasubiri sana Nyamwezi