Hiyo ni Bayern tu na hapo kuna Ajax wanaopokea over 1.5 million Euros.Hii post ina ukweli wowote! 😂😂😂
View attachment 3701208
cha muhimu washakubaliana na hali kwamba slums are there for themHiyo ni Bayern tu na hapo kuna Ajax wanaopokea over 1.5 million Euros.
Hawa Wakenya wanapenda sana mambo ya show off ambayo kiuhalisia yana wakost mno.
Kwani pesa ni yenu? Mbona mnalalamika as if pesa ni yenu?Hiyo ni Bayern tu na hapo kuna Ajax wanaopokea over 1.5 million Euros.
Hawa Wakenya wanapenda sana mambo ya show off ambayo kiuhalisia yana wakost mno.
tunalalamika au tunawacheka mlivo mangombe 😂 😂Kwani pesa ni yenu? Mbona mnalalamika as if pesa ni yenu?