Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,258
- 35,721
Nchi itaendelea kuwepo,watawala wanapita tu,ndio maana uzalendo unatakiwa uwe kipaumbeleUnaipenda nchi.
Unamchukia mtawala au mwanasiasa kwasababu anaiharibu nchi unayoipenda.
Sasa kama huipendi nchi, hata mwanasiasa akiivuruga kwanini umchukue kuharibu kitu usichokipenda?
Are you asking in good faith or out of malice?..How much have you paid?
Enough to last us 10 years without a drop from outside.What is the value of ur crude in Lokichar based on domestic selling price?
Wao wanadhani ili uonekane mwamba ni uchukie hadi nchi!Nchi itaendelea kuwepo,watawala wanapita tu,ndio maana uzalendo unatakiwa uwe kipaumbele
Wakati nyinyi mnajenga hayo mazizi ya ngoβmbe Tz inajenga viwanja vinne vipya vyenye hadhi ya FIFA .. nyie badala ya kuendelea mbele mnajenga tena mazizi ya ngoβmbe very stupid society. πππEvery county is now building a major stadium.. ( Kenya copycat development mentality).. soon Kenya will have no stadiums equal ukanda huu .. 47 modern facilities. π₯π₯
Wakati wanahangaika kujenga affordable housing huku wananchi wao wakiendelea kufa njaa, tz wanajenga irrigation schemes ili wananchi waendelea kuzalisha na kujitoa kwenye umaskini, ili huko mbele waje wajenge maghorofa yaoWakati nyinyi mnajenga hayo mazizi ya ngoβmbe Tz inajenga viwanja vinne vipya vyenye hadhi ya FIFA .. nyie badala ya kuendelea mbele mnajenga tena mazizi ya ngoβmbe very stupid society. πππ
Ndo maana huwa nawashangaa sana Watanzania wanaowashobokea.Shit happens...ajali huwa zinatokea. Kuna mbuzi walirukaruka na kushangilia kisa train ya Tz imederail na maneno mengi kama mazuzu !@#$$%^^&*
View: https://www.instagram.com/reel/DfCl5wYuTXI/?vrfl=MWg2YmFweDhsMWt6ag==
Strange , you do have teams in Kenya donβt you ?NFL is next . An American football game is coming to Nairobi..π―β¦ fist time in Africa
Utaambiwa ni wivu maana hawapendi kuambiwa ukweli. πππStrange , you do have teams in Kenya donβt you ?
Launching a national stadium with foreign teams is something I have never seen it before , atleast invite a national team friendly with your Poor harambee stars, Or A foreign team Vs Local team.
I wonder how much did your corrupt government spent to bring those teams to Kenya.
Hii ni Maajabu kwakweli πππUtaambiwa ni wivu maana hawapendi kuambiwa ukweli. πππ
kwakua unahisi watu wote ni wajinga πππLakini neno "CHAWA" lenyewe liliibuka awamu iliyopita, Siasa za nguvu na kukaba upinzani wote tunajua zilianza kipind gani. Chukia mchezo, usichukie mchezaji.
is tanzania a socialist country? πππππYaani unachukua viposts vya wana harakati huko IG wakirifaa toka kwa takwimu za Mabeberu.
Nchi za kisoshalist or still maintain soshalist principles, namely:
China
Russia
North Korea
Vietnam
Tanzania
Belarus
Cuba
Hizi nchi hata zipige hatua vipi ni lazima ziscore low kwenye rating agencies zote za westerners kuanzia:
Human rights
Maendeleo
Democracy
Freedom
Governance
Safety
And so on.
Ni mtu tu mwenye limited understanding asiyeona wala kutambua hili.
usinambie hzi statistics umezitoa kichwani kwako mzee ππππππIndia yenye watu over 1 plus billion ndio yenye 14 million ya watu wanaishi kwenye umasikini?
Ethiopia yenye watu over 90 Million ndio ina idadi hizo chache?
kumbe mikataba ni mibovuπππππKuna watu watapinga kuwa hakuna gesi Tanzania tatizo ni mikataba mibovu