Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wivu ndio unaokupunza wewe uliofeli maisha US πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani si kweli kwamba Dodoma ring road is the longest dual carriage in the Region.? Au kwasababu ni ukweli unaokuchoma.?
Since you are an illiterate Bongolala, let me enlighten you how in real world things work. You are entitled to your own opinion ( Dodoma ring road) but not your own facts. Only in primitive societies people react on animalistic instincts and blind patriotism πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hivo kutoka Nairobi Hadi Marua ni 84km?
Usikue mbilikimo mwili tena akili wee mbilikimo.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndugu yetu mwana afrika mashariki, umoja ni nguvu. Tuwekee account yako hapa tukuchangie uweze clear deni lako chap uondokane na manyanyaso ya mwanamke
 
Kenyans have a sense of humor… if a Tanzanian made an official song for shared pit latrines and showers in Uswaziland, i guarantee Mama’s goons would pay them a visit πŸ’―πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sasa sisi tumeingia vp apo kwenye flying toilets πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hio ni nyimbo inawahusu nyie πŸ˜‚πŸ˜‚ its your job to take it to trending
 
Sielewi kiingereza andika kwa kiswahili wewe failure. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…