Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu there are only two units of these things from Indians garage in kenya .
funny enough there are none in Kenya , you only have Isuzu with lots of putty.
Buses that have remained in Kenya are way better than whatever Katarama got.

Mombasa Raha



Bus Car


Abuya

Habesha



Rayan

Moyale Star


Super metro.



Nurein


Genesis


Royal


Dreamline


Tahmeed
 
wameenda na wakati sana na elimu imewasaidia sana alaf nimegundua hata hzi marcopolo zote bongo ni from AVA kenya, alaf not only bus naziona mpaka truck trailer zao Bhachu, ATL, AM trailers, Transtrailers etc ( tankers, flatbed and tipper) zimejaa tanzania, wamejitahidi sana kwenda na wakati
 
tanzania kwenye export inabebwa na gold reserve za nchi zinazouzwa ambayo inaingiza kwa sasa almost 5.2b usd lakini ukipiga hesabu za manufacturing goods and services pamoja na tourism ambayo bado haiingizi vile ipasavyo kutokana na hifafhi tulizonazo yani ni vituko vya alinacha

sasa ikiwa nchi imejaaliwa ardhi yenye rotuba kwa asilimia kubwa bado inaagiza sukari ya 510m usd kwa mwaka

nchi zamani ilikua ikilima ngano huko moshi na sasa inai cost nchi kuagiza ngano za almost 396m usd kwa mwaka

mafuta ya kupikia wakat zamani kulikua kuna viwanda vya mafuta ya mchikichi kila kona ya nchi leo viwanda vimekufa vyote na tunaagiza mafuta ya kula kwa zaidi ya asilimia 90 na cost yake ni zaidi ya 200m usd kwa mwaka

hapo sijagusa other commodities like basmat rice ambayo tunaagiza kwa zaidi ya 16.5m usd hapo tumejaaliwa kila kitu

achilia mbali services and transport ambayo kila kitu tunaagiza na cost yake ni billions usd ambayo haielezeki tunaagiza mpaka stick za kuchokonolea menoπŸ˜†πŸ˜†


alaf tunalalamika cancer na kisukari imeongezeka tanzania ikiwa tunashindwa ku secure food tukazalisha wenyewe tukaacha na importation of food ambayo zinakuja hatujui wameweka nn ndani au sometimes hata sukari inaingia isha expire wana rebag again, alaf tunakimbilia tena kwao kununua machine za cancer ambazo zina cost millions of usd na bado matibabu na madawa again millions usd huku maintenance cost yake ni millions


sijui alieturoga sisi ni nani πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
ukiachana na cancer ya maradhi kuna cancer nyingine inaitwa uchawa
 
leo mauzo ya korosho kabla ya kuongezwa mnyororo wa thamani ni 1.45 trillion tsh, tunzalaisha zaidi ya tons 520,000 alaf mauzo ya korosho kabla kuongezewa thamani ni 410,000 tons iliobakia ndio hio inapita kwenye viwanda vidogo kuongezewa mnyororo wa thamani, leo tungewekeza heavily kwenye viwanda vya korosho tukaongeza thamani wenyewe na kutafuta masoko duniani, kwanza ajira zingepatikana lukuki na serekali ingekusanya kodi na bado export amout ingekua over 2.5 trillions, lakini kilichopo korosho zinaondoka nchini kama raw material zinaenda kwa wenzetu zinapita viwandani zinaongezewa thamani, ajira zinapatikana na kodi za serekali zao alaf wana export tena na wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…