Mbna wanajua salary ya fei ya mwezi ndo budget ya KPL nzimaHizi timu za Kunya buana,
Hivi wanajua mshahara wa Jonathan Sowah pekee ni equivalent to the tuskers entire monthly pay ?
Of course wenye akili tulielewa wakunya wasio na akili , ambao ndio majority waliamini timu yao duni ngewaondoa Mzee wangu Mwaluvinga.
Hata dar coach sidhani kama anamjua huyo mluga lugatumeshindwa kumprote dar coach alianza vzr mpaka amekufa 😂😂😂 hii nchi🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Itakua anaijua, vp unazijua foldable seats za stadium ya ngong 😂😂😂😂 mpaka ututumie picha ikiwa na foldable seats kote, tunataka hio picha mda huuHata dar coach sidhani kama anamjua huyo mluga luga
So Ichoboy has no right to give his opinion or offer criticism of the government?… is that in the constitution?… you can disagree with him but don’t turn him into an enemy of state . I am sure his love for Tanzania is as much if not more than yours . ( And I can’t believe I am here defending Ichoboy after all these years🤣🤣… That’s why they say in politics there are no permanent enemies just permanent interests 😜😜💯)Tofauti ya wakenya na wapumbavu wengi wa kitanzania ni kwamba wao wanaijenga nchi yao no matter what, ila waTanzania wao wanashirikiana kuibomoa nchi yao kwa propaganda na uzandiki kama tu huu unaofanya wew hapa. Badala ya kushiriki kuijenga nchi unashiriki kuibomoa kisa tu haukubaliani na serikali na wapumbavu wengine wa kawaida the likes of Maria sarungi, Twaha Mwaipa na huyo muuza maku Hilder Newton, hawana mchango wowote kwenye hii nchi, sasa na wewe usijaribu kuwa kama wao.
Maoni yapi, tukianza kumnyoosha tutatumia silaha zote kali baadae yatakua ni mambo ya kuvunjiana Heshima, we love him, we respect him as our fellow Tanzanian, he better stay silent kama haoni jema kwa anavyodai, hiyo njia aliyoichagua sisi tunazo silaha kali tumeziweka huko, isijekutokea bahati mbaya akakutana nazo.So Ichoboy has no right to give his opinion or offer criticism of the government?… is that in the constitution?… you can disagree with him but don’t turn him into an enemy of state . I am sure his love for Tanzania is as much if not more than yours . ( And I can’t believe I am here defending Ichoboy after all these years🤣🤣… That’s why they say in politics there are no permanent enemies just permanent interests 😜😜💯)
So now you want to silence him ?.. how much you get paid as a Sisiemu goon ?… I will double it if you quit 😜🤣🤣🤣🤣Maoni yapi, tukianza kumnyoosha tutatumia silaha zote kali baadae yatakua ni mambo ya kuvunjiana Heshima, we love him, we respect him as our fellow Tanzanian, he better stay silent kama haoni jema kwa anavyodai, hiyo njia aliyoichagua sisi tunazo silaha kali tumeziweka huko, isijekutokea bahati mbaya akakutana nazo.
Jamaa anawapiga na facts Hadi wanataka kummaliza waah,So now you want to silence him ?.. how much you get paid as a Sisiemu goon ?… I will double it if you quit 😜🤣🤣🤣🤣
Yaani unamtishia mtu kisa ana maoni tofauti na wewe? Umvunjie heshima kwasababu yeye haoni unachoona wewe? Uko wapi uhuru wa maoni? Inawezekana wewe unaona TZ ni heaven mwingine akaona hell. Shindaneni kwa hoja sio matusi au vitisho.Maoni yapi, tukianza kumnyoosha tutatumia silaha zote kali baadae yatakua ni mambo ya kuvunjiana Heshima, we love him, we respect him as our fellow Tanzanian, he better stay silent kama haoni jema kwa anavyodai, hiyo njia aliyoichagua sisi tunazo silaha kali tumeziweka huko, isijekutokea bahati mbaya akakutana nazo.
Unawaita watu wapumbavu kisa wana maoni tofauti na wewe? Maneno ya hao unaowaita wauza maku ni sehemu ya demokrasia na uhuru wa maoni. Maneno yao hayawezi kubomoa nchi. Nchi haibomolewi wala kujengwa kwa propaganda.Tofauti ya wakenya na wapumbavu wengi wa kitanzania ni kwamba wao wanaijenga nchi yao no matter what, ila waTanzania wao wanashirikiana kuibomoa nchi yao kwa propaganda na uzandiki kama tu huu unaofanya wew hapa. Badala ya kushiriki kuijenga nchi unashiriki kuibomoa kisa tu haukubaliani na serikali na wapumbavu wengine wa kawaida the likes of Maria sarungi, Twaha Mwaipa na huyo muuza maku Hilder Newton, hawana mchango wowote kwenye hii nchi, sasa na wewe usijaribu kuwa kama wao.
So you don't want anybody to an opinion contrary to yours? Dictatorship is in your blood right from your government all the way to minions like you.Maoni yapi, tukianza kumnyoosha tutatumia silaha zote kali baadae yatakua ni mambo ya kuvunjiana Heshima, we love him, we respect him as our fellow Tanzanian, he better stay silent kama haoni jema kwa anavyodai, hiyo njia aliyoichagua sisi tunazo silaha kali tumeziweka huko, isijekutokea bahati mbaya akakutana nazo.
Babu jinga linajipiga kitaulo,litakua bwabwaAnaonekana mshamba. 😂😂😂
View attachment 3697221