Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee mwenzangu nahisi turudi kwenye uzi kama mwanzo jukumu letu ni kuwapa vitasa machokoraa wa kibera hizo gari zilikuwepo mda tuu japo kuna sehemu hawa wakujipachika madaraka wamelala ni migogoro kila kukicha na utekaji all in all watapita japo tutakuwa tumeumia sana maake saivi ni migomo kila kona yanchi Gwajima aliwahi kusema CCM itashinda hata kwa mtutu sawa baada ya kushinda inchi haitatawalika ndicho kinacho endelea kwa sasa mwisho wa siku gwajima alitimuliwa ccm na kanisa likafungwa naona na mwaposa ameambiwa abomoe mambo ni mengi tumuombe Mungu atupe uzima kuna mengi tutayaona
sisi ndio tunatamba na gari zilizoundwa kenya sisi bado tumelala na uchawa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kenya inaingiza from diaspora remittances 3.33b usd kwa mwaka huku tanzania ndio mzalishaji mkubwa wa ajira kwa kenya waishio tanzania inayoongoza africa ambayo ni 185b tsh haya tujiulize tanzania inaingiza kiasi gani kutoka kwa diaspora wanaoishi kenya? uchawa nchi hii ni cancerπŸ˜†πŸ˜†


View: https://www.instagram.com/p/DeqWZTrDu6_/?psln=MXBqb2NmMTE0cWtnMw==
 
Kwamba saudi arabia inatuma remitance kubwa kenya, na kenya haitumi kwenda saudi arabia basi kenya inaonekana kubwa au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hujui chochote kuhusu uchumi nenda kalale, infact sio tu wafanya kazi hadi wachezaji wao wanalilia kuja kucheza uku kenya maisha mabovu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna Bongolala Mmoja hapa once ranted for 2 days ati Tanzania ndio inaongoza remittances kwa Kenya. Source yake maybe be CCM gazette β€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Kuna Bongolala Mmoja hapa once ranted for 2 days ati Tanzania ndio inaongoza remittances kwa Kenya. Source yake maybe be CCM gazette β€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
dont you know we are your main source of remitance ama huelewi hio chart πŸ˜‚
 
Tofauti ya wakenya na wapumbavu wengi wa kitanzania ni kwamba wao wanaijenga nchi yao no matter what, ila waTanzania wao wanashirikiana kuibomoa nchi yao kwa propaganda na uzandiki kama tu huu unaofanya wew hapa. Badala ya kushiriki kuijenga nchi unashiriki kuibomoa kisa tu haukubaliani na serikali na wapumbavu wengine wa kawaida the likes of Maria sarungi, Twaha Mwaipa na huyo muuza maku Hilder Newton, hawana mchango wowote kwenye hii nchi, sasa na wewe usijaribu kuwa kama wao.
 
relax man he is another clown πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…