Kuna watanzania kibao huko US mixer kufanya matamasha yao. ****** kunuka unakuja humu kutupigia kelele stupid. Haya toa tongo tongo.
View: https://vt.tiktok.com/ZSbT2mAA3/.
Wewe mtetee mwenzako ila watu walisoma huo mjadala, so them all know which is which.Wewe ni mfupi. Si umepost hapa picha yako juzi dem fulani mdoogo na bado amekushinda urefu? Alafu usijifanye hujaona hii. Ulileta story za kuingia stadium alafu baadaye unaanza kulia eti wengine wanakuwa personal kwenye mijadala na wanafurahishwa na vitu vya kipuuzi kama kuingia stadium wakati ni wewe uliona kuingia stadium ni kitu cha maana hadi ukaitisha picha kuprove Nairobiwalker ameingia stadium.
"Them all know which is which" ni kiingereza gani hicho.😂😂Wewe mtetee mwenzako ila watu walisoma huo mjadala, so them all know which is which.
Uzuri mimi ni shabiki mzuri wa mpira na huwa naendaga kuangali ball viwanjani kabisa, tabia yangu tangu utotoni. Sijawahi kukuona kwenye uwanja wowote stupid. 😂😂😂 we zako labla kupita nje ya uwanja kwa mbaaali halafu upige picha 1km away from the stadium ndio uje upost humu.
Tena wewe ****** kunuka ulipita hapo chuga uwanja ukiwa ndio kwanza wanaeka machuma 😂😂😂
Have you ever been inside any stadium before.?
Mbona unanifokea kwa hasira tuliza munkari kijana 😁Which Infrastructure when you lag behind Burundi in Infrastructure index? Which industries are you building?
Hamna haha ya kujenga a 62 floors building cause your poor countrymen won't fill it even after 309 years.
Talking of Slums, are you aware 70% of Tanzanians live in slums compared to 40% of Kenyans?
These are the kinds of infrastructures we are talking about.
What is the occupancy rate of the affordable housing scheme? 😁Barabara ya undongo? I think you mean Dar vumbi.
Bongolala sio haja mmekosa ya kujenga skyscraper. Ni pesa mmekosa. Mbilikimo zenu za 20 floors zote ziko half empty years after completion.
Nairobi nyumba zinasell out before and during construction.
Show me anywhere within Nairobi boundary that looks like thisUnataka kusema Nairobi yote imejengwa au sio!?? Akili za kimatope hizi.
Chanika, Mvuti ni Coastal regions recently added to DSM Region.Show me anywhere within Nairobi boundary that looks like this View attachment 3689013View attachment 3689014View attachment 3689015
ni mwendo wa BEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEENCHI
View attachment 3687676
I heard Arusha Stadium ina skyboxes 21 in total kama sikoseimwaiofhawaii naskia na ngong mlipewa boxesView attachment 3687680
Huyo mbona analazimisha sana “uichape” 😂😂😂Wewe mtetee mwenzako ila watu walisoma huo mjadala, so them all know which is which.