Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio ni projections ila sasa hivi 2018 from 2014 na hizo za 2017 zimetimia...sorry bro...pia za 2022 zitatimia...infact the gap will even be bigger than those projections
Watu wenye akili za kiuchumi kwasasa hawaangalii GDP wanaangalia GDP growth.
Mapitio yakishafanyika takwimu zitatokewa na kama kunanchi itakuwa imefikia kwenye middle income itaingizwa. Sasa hivi ni calculations tu zinafanyika from 2014 data.
Kwa mfano Sensa Tanzania ilifanyika 2012 ni miaka 6 sasa hatujafanya sensa lakini bado wana calculate population based from 2012 data.
Unaelewa lakini?
 
hakuna maumivu kwenye expectations nani ali expect uchumi wa kenya utakua kwa 4% , nani ali expect inflate itapanda over 11% so endeleeni kupika data lakini habari munayo πŸ˜€πŸ˜€
expectations are not very far from the reality bro...infact these are professional organizations like WB...thy went to school because of this...anyway, only time will tell...lakini nakuhakikishia kuwa tz haitawahi kuwa nyanja moja na Kenya...thats free adviceπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sawa bro...nasubiri...by the way, vipi kuhusu bombadier?
bombadier isikutie hofu kuja ni lazima kwasababu tumenunua cash sio kukodishaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

habari ilioniskitisha ni hii mumeamua kukimbiza ajira na kuzipeleka kwa waarabu pesa hamuna kampuni iko ICU
sijui kama 2018 kq itatoboa salama
 
Copy and paste peleka kule. Acha ushamba huo. Kwanini usiweke summary?
 
Huyu tushamkata angekuwa kwenu mngeshampa Kiki mbona huko kenya kuna chama cha wasioamini kama kuna Mungu wanawatetea Machangudo wanataka serikali ya kenya iwajengee mazingira mazuri wafanyie kazi zao.Nyie kenya bado bongo zenu zina kamasi
wewe Mungu ushamwona? hahahaha let the atheists believe what they want to believe...personally i believe in God ila sijawahi mwona kwa macho yangu...natumia tu faith
 
we ulijua kama uchumi wenu utashuka sana??πŸ˜€πŸ˜€
we ulijua kama bomba la mafuta tutalichukua kiulaini?
ongea vitu venye mantiki uchumi wa kenya uko kwenye hali mbaya sana mumefkia hatua ya kukopa loan kulipa loan serious???πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Don't beat around the bush by writing a 50-page essay; wr have no time for that. The question is very simple: if you have a better education system that can adequately address issues that Kenya's education system has failed to address as you have highlighted above, why are you flocking Kenya's learning insitutions in your thousands right from kindergarten level? Answer that simple question
 
Don't beat around the bush by writing a 50-page essay; wr have no time for that. The question is very simple: if you have a better education system that can adequately address issues that Kenya's education system has failed to address as you have highlighted above, why are you flocking Kenya's learning insitutions in your thousands right from kindergarten level? Answer that simple question
 
afadhali kq ipo ICU..ATCL ipo kaburiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ndio mnafufua 2018...yaani huwa mnachekesha sana...nchi yenye inategmea utalii kwa asilimia kubwa wanafufua airline 2018πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Je kenya expected inflation rate over 10%? Kenya expected GDP growth 4%?
 
Elimu ya Kenya ni elimu ya hovyo sana, ukiondoa kiingereza nini zaidi elimu yenu imewafanyia kama bado hadi leo mnaendekeza ukabila, corruption, unemployment, slums, poverty, few people control nearly all GDP, what is the aim of education?
 
uchumi haujashuka bro...growth ndio imeshuka ila uchumi wa 2016 sio ule wa 2017...umeongezeka ila kwa kiasi kidogo kuliko projections za awali..na sababu yake kubwa ni drought na elections...it has affected tea exports and trade...2018 hamna elections wala drought so standbyπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€moshi lazima munywe
 
Mkishaona kibera mnakua na insha zakujitekenya kwelikwel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je kenya expected inflation rate over 10%? Kenya expected GDP growth 4%?
Pwahahaha sasa umeleta debt to GDP...tulianza kwa per capita ukakimbia kwa GDP sasa umekimbia kwa debt....stick to the topic bro...dont bit around the bush
 
Kama uchumi hauukui maana yake umedumaa umebaki pale pale. Lakini Tanzania uchumi unakua kwa kasi. Maana yake unaendelea kuziba gap kwa haraka sana. Who expected Ethiopia itaipita kenya? Expectation zilikuwa zinaonesha Kenya itakuwa juu miaka yote mpaka 2050. Lakini sasa Ethiopia iko juu.
Growth rate na Inflation rate ndiyo kipimo muhimu sana vya uchumi.
 

Outsourcing for non-core but essential services is among the best industry practices my friend. Sio ajabu hizo bombadier zenu will routinely be serviced outside Tz
 
hehe ongea kama mtu mwenye elimu bro unaposema growth imeshuka maana yake ina impact moja kwa moja kwenye uchumi, so did u expect growth will decline??
or did u expect inflation will hit over 11% au we ulijua kenya itashikwa na njaa namna hiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…