Punguza mirungi.Kama hii na unajua hapa ni Kiambu County? Sio hata Nairobi ๐๐ hii si ndo barabara ya Kimara hadi Kibaha ๐คฎ๐คฎ
View attachment 3684838
Gridi ya umeme inazima mara kwa mara treni halisafiri mara lidondoke yani tafrani
More tham 602 currently on operational
View attachment 3684840
Hii ni flyover ya 700 kama sio 800 Kenya
Wewe juha, tuoneshe basi na mazingira ya chini ya hiyo Expressway ambayo wamejenga wachina na wanachukua kodi kwa miaka 30.
Vipi starehe yako ipi?Punguza mirungi.
Naona ndio inayokusumbua.
Kibaha ikoje?Kiambu ni nje kidogo sana ya Nairobi, ambacho ni kimji kidogo sana.
Hatuzungumzii ukubwa tunazungumzia hiviYaani hata uchukue hiyo Kiambu, uunganishe na Nairobi bado haifikio Dar kwa ukubwa.
Hii mnayo?Lakini pia hakuna barabara ya kutisha hapo, unless nazungumza na kijitu kinachokaa Kondoa.
๐๐๐๐Gid kuzima ni kawaida, maana siyo pepo hoyo.
Kudondoka?Trein ina miaka 2 kuzima mara 2, unaleta hata stori kitafuna mirungi.
Waa.bie basi na wao waweke umeme kwanza, hata huo unaozima.
Wewe juha, tuoneshe basi na mazingira ya chini ya hiyo Expressway ambayo wamejenga wachina na wanachukua kodi kwa miaka 30.
Hivi vipicha vimejaa sana humu.View attachment 3684983
๐๐๐๐
Kudondoka?Vipi starehe yako ipi?
Kibaha ikoje?
Hatuzungumzii ukubwa tunazungumzia hiviView attachment 3684973
Hii mnayo?
View attachment 3684975
๐๐๐๐
Kudondoka?
Sgr ya kenya haijawahi kudondoka
Tena SGR ya bongo ipo siku itaua watu karibu wote
Lini ipo on operational toka 2017Kudondoka?
Sgr ya kenya haijawahi kudondoka
Woteee si kwa sababu ni ya umeme kwa sababu ya miundo mbinu yake ya reli wallah itakuja kumaliza shwaa
Woteee si kwa sababu ni ya umeme kwa sababu ya miundo mbinu yake ya reli wallah itakuja kumaliza shwaaLini ipo on operational toka 2017
Woteee si kwa sababu ni ya umeme kwa sababu ya miundo mbinu yake ya reli wallah itakuja kumaliza shwaa
WoteeeWoteee si kwa sababu ni ya umeme kwa sababu ya miundo mbinu yake ya reli wallah itakuja kumaliza shwaaView attachment 3684988
Utatulia tu wala usihofu.
Ss umebadili jina ili iweje.Vipi starehe yako ipi?
Kibaha ikoje?
Hatuzungumzii ukubwa tunazungumzia hiviView attachment 3684973
Hii mnayo?
View attachment 3684975
๐๐๐๐
Kudondoka?
Sgr ya kenya haijawahi kudondoka
Tena SGR ya bongo ipo siku itaua watu karibu wote
๐๐๐ Unamtisha nan sasaSasa dogo kwanini unanitukana?
Umri nakuzidi, dhambi nakuzidi, mema nakuzidi hivi unanifahamu vyema humu jukwaani
Nitakufanya upotee humu kubi wewe
Hata wewe unatishika vizuri tu๐๐๐ Unamtisha nan sasa
๐๐๐๐ Wacha kukimbia maswali si nchi zote zipo ufukweni? Leta izo infrastructure za usafiri baharni za upande huo ๐๐๐๐๐ au hata ukitaka lake victoria sema tuView attachment 3684862
Infrastructure ni hizi sio maji na maboti
Aya endelea sasa kutisha kipara mjaneHata wewe unatishika vizuri tu
Leta picha ya uwanja mzima tuone izo foldable uwanja mzima ๐๐๐๐Kumbe ni VIP ๐๐๐๐ Talanta ni for all
๐๐๐ Hujajibu swal nmekwambia glass buildings izo takataka za zege unampelekea nan miaka hiiView attachment 3684861
Kula chuma
Toa filta alafu post tenaView attachment 3684860
Hii ndio pombe
Swali ni rahisi lakini unakimbia kimbia, nimekwambia GLASS building, tafauta kenya nzima kokote kwenye glass building ulete