Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ruto alirukia gari,walipokosa bomba la mafuta,sasa aweke kiwanda cha kusafisha mafuta ili abalance hii ya kusema Tanga ilikuwa janja ya nyani Lililopo tutabanana hapa east Africa mpaka kieleweke.
Alikua anajipenyeza kama ushuzi wa ngomani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alijifanya eti ana akili kuliko wajukuu wa nyerere. Wahuni wakamstukia wakamwambia wewe jenga tu kimpango wako. Sisi pia tutajenga yetu.

Kuna fala mmoja NairobiWalker alipost picha za M7 na Kasongo asubuhi na mapema huku akitucheka kwamba M7 katutosa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sahii wamebadili gia angani baada ya kusanuka kwamba mchizi hawezi tia mia mbovu kwenye kamradi kao kakufikirika. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mnuka mavi mwingine amekuja na mada ya kwamba ati β€œni nani atatoa hela awekeze Tanga.?” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ what a stupid question..
 
Ruto alirukia gari,walipokosa bomba la mafuta,sasa aweke kiwanda cha kusafisha mafuta ili abalance hii ya kusema Tanga ilikuwa janja ya nyani Lililopo tutabanana hapa east Africa mpaka kieleweke.
Poleni sana ndugu.
Naelewa Tandale ni kumoto, lakini, know you will always have an omba omba home in Kenya. πŸ˜‚
 
Nani kakwambia hamtajenga .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie jengeni upuuzi wenu,

Sisi na UG tutajenga refinery yetu, kwasababu mafuta ghafi tunayo.
Punguza bangi.
UG inajenga refinery.
Tanga tanga mnajenga storage tanks.

Kwanini unashikilia jina ya Uganda? Stand on your own. Bongolala wewe.

LAMU


TANGA TANGA
 
I thought ulisema ni private tena unataka private company to disclose their documents?🀣🀣🀣
ofcourse kwan wamekuja kupiga tu ela na kuondoka 🀣 🀣 🀣 infact he is controlling the whole economy by tapping into the main economic machine 🀣🀣🀣 and whats worse you have to buy 30% of it
 
ilikua ni Teargass 🀣 🀣 walikua bado hawajajiandaa na premium tears
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…