this u will never find in tz towns a part from dar is aslum ..wazidi wakikimbiza opepo
mm nafkiri wewe dar huijui vyema unaitazama kwa jicho la waswas sanaAta hapo Dar imepigwa bao na Arusha.
hakuna highway nzuri hivyo Dar
hoima to tanga oil pipe line hio isahau ndugu, ni baada kuona tullow ameyumba na bado anasuasua juu ya ujenzi wa bomba la mafuta kutoka lokuchar kwenda lamu, mukamuomba total aje kunusuru hio project, labda nikupe hesabu rahisi tullow alishaona kujeng pipeline from lokichar to lamu ni hasara kwake, yani ajenge pipeline 750 km alaf uwezo wa kusukuma mafuta 2000 barrels per day alaf mafuta yenyewe yako 663m barrels, tumia akili ya kimahesabu tu, 😀😀😀😀😀 makampuni ya nje yapo kimaslahi sio kwa ajili ya sifa, tullow alishaona hasara ndio maana anawazungusha mukaamua mumuombe total awasaidie, so total pia hawezi kufanya kazi ya hasara, poleni sana inauma sana😛😛😛😛
tulimaliza kwenye bomba sasa tunataka kumaliza kwenye SGR, rwanda tayari bado tumalizane na uganda na kumbuka without uganda kenya SGR is white elephant
Yah that's the issue they don't want to acceptKeep consoling yourself so. Remember Tz is only providing land for the pipeline passage and has no oil of its own along the route and these oil magnates can still change mind to deal with the real oil stakeholders! If the Hoima-Tanga route was to harness all of Uganda/Juba/Kenya oil load then it would make sense but remember a lot is going on the background. Not over until it's over!
biashara ilishaisha nashangaa unatoa kilio leo, tanzania is searching oil along lake tanganyika na ukumbuke hilo bomba kutoka hoima kwenda tanga itajengwa gas pipeline parallel to that oil pipeline , nia yetu ni kusambaza natural gas to uganda, rwanda, congo burundi and kenyaKeep consoling yourself so. Remember Tz is only providing land for the pipeline passage and has no oil of its own along the route and these oil magnates can still change mind to deal with the real oil stakeholders! If the Hoima-Tanga route was to harness all of Uganda/Juba/Kenya oil load then it would make sense but remember a lot is going on the background. Not over until it's over!
labda ulikua hujui😀😀😀😀😀Yah that's the issue they don't want to accept
who told u tanzania haina oil???😀😀😀😀Keep consoling yourself so. Remember Tz is only providing land for the pipeline passage and has no oil of its own along the route and these oil magnates can still change mind to deal with the real oil stakeholders! If the Hoima-Tanga route was to harness all of Uganda/Juba/Kenya oil load then it would make sense but remember a lot is going on the background. Not over until it's over!
Kenya mna roho ngumu sana, na akili zenu pia haziko sawasawa, ujenzi wa Tanga Hoima umeshaanza, pesa yote imeshatolewa, hivi bado mnafikiria kwamba mradi utabadilishwa?, hiyo ni sawa na kusema kipande cha SGR cha Nairobi - Naivasha hakitojengwa, wakati kazi inaendelea, ninyi lazima mkubali kwamba huo mradi mlishapoteza, acheni kuendelea kulia sana haitowasaidia lolote lile zaidi ya kuwazidishia machungu.Yah that's the issue they don't want to accept
jamaa wameumia sana😀😀😀😀😀😀 anaota ujenzi kurudi kwao wakat tenders zimeshatangazwa na ujenzi umeanzaKenya mna roho ngumu sana, na akili zenu pia haziko sawasawa, ujenzi wa Tanga Hoima umeshaanza, pesa yote imeshatolewa, hivi bado mnafikiria kwamba mradi utabadilishwa?, hiyo ni sawa na kusema kipande cha SGR cha Nairobi - Naivasha hakitojengwa, wakati kazi inaendelea, ninyi lazima mkubali kwamba huo mradi mlishapoteza, acheni kuendelea kulia sana haitowasaidia lolote lile zaidi ya kuwazidishia machungu.
Imepigwa bao na Nani??Ata hapo Dar imepigwa bao na Arusha.
hakuna highway nzuri hivyo Dar
lol......what the hell are those......moja inakaa pikipiki race course
Keep consoling yourself so. Remember Tz is only providing land for the pipeline passage and has no oil of its own along the route and these oil magnates can still change mind to deal with the real oil stakeholders! If the Hoima-Tanga route was to harness all of Uganda/Juba/Kenya oil load then it would make sense but remember a lot is going on the background. Not over until it's over!
Wewe sikulaumu. Thus why you use YouTube as your search engine instead of Google. Nie ndowatu mliotoka ushago nakujifanya Nairobi mnaijua kuliko wenyeji.lol......what the hell are those......moja inakaa pikipiki race course
Post vitu mature si kujaza utoto hapaWakenya hii habari mkaikalia kbsa tusijue..
Sasa mnafkiri Nani anataka mzigo wake upakizwe kwenye kibatavuzi kinatembea 40km/hr. Km 1 inachukua siku 5[emoji23][emoji23][emoji23] si bora nikodishe baiskeli labda ntawahi kufika
Goods shortage stalls Kenya SGR cargo business - The East African
Prove me wrong in that post, SGR yenu ni Ushuzi most Investors and businesses still opt for Road.Post vitu mature si kujaza utoto hapa
Ukitaka watu washift kwa road to rail mara moja...Prove me wrong in that post, SGR yenu ni Ushuzi most Investors and businesses still opt for Road.
Lool, I didn't know you this Lunatic.. Watu siku zote wanaangalia Urahisi, Efficiency and Time Saving. Hii Treni yenu ya 70s doesn't meet majority and Today's world demands. The business will never be favourable. First its Old na very Expensive compared with the Road wakati SGR is meant to be Fast, Cheap and Time saving.. I wonder where's your 2Billion education budget go. You seriously need some educationUkitaka watu washift kwa road to rail mara moja...
vitu hutake time like 6month period..jinga sana