Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You used to be a big fan of Dangote when Tanga was on the table .. what changed?..🤣🤣🤣🤣
Since when? yaani mtangaze wenyewe refinery kwenda tanga alafu baadae mtangaze lamu alfu mje mseme we are fun of nani 🤣 🤣 🤣 🤣
 
These bombers znajulikana and you cant compare them with f5 which were used when soldiers wore shorts
 
Original founders wa hii BID ni tanzania and uganda, i really want to know who added bungoma, maana this is embarrassing toka CHAN wao tu kusumbua
You seriously cannot depend on them for anything, wako kama kinyonga mwanzoni wanakupa good appearance, sweet-talking, lakini later on wanabadilika na hata aibu huwa hawaoni. Tumeona hii tabia kwenye vitu vingi sana: Mombasa Port (Uganda and Rwanda), Kenya Pipeline Limited (Uganda and Rwanda), Government-to-Government Petroleum Deal (Uganda and Rwanda) the list is long. Ukiwa a good neighbour especially with a sea port it is your responsibility to provide stability to your neighbours who depends on you for logistics ila hawa nyangau ni kuwanyonya zaidi ndicho wanachojua halafu wakichukiwa wanasema wanaonewa. The same applies kwa AFCON ukiwasikia wanataka ku host opening and finals wao tuu.
 
🤣🤣🤣🤣 Duh Nimecheka kweli eti Kenya will be refining Ego by 2030. Watu wengine sijui maneno wanatoa wapi dah.
kuna watu wanakusema mpaka unawaza mara mbili 🤣🤣🤣, how can kenya refine ego 🤣🤣🤣
 
Btw its since EAC ilivovunjika mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…