Achana na desperate NyamwezisAccording to his reasoning the hata hii Betnabue pia ni stadium ya mbio😂😂
See how fans are far away from the touchline as compared to Talanta Stadium.
Bernabue
View attachment 3680424
Talanta Stadium
View attachment 3680426
Emirates Stadium
View attachment 3680428
Tottenham Stadium
View attachment 3680431
Old Trafford
View attachment 3680432
Si mlisema mnaezandaa AFCON pekee yenu na pia nyinyi ndio wenye bid? Mbona msiambie CAF wawapatie rights za kuhost pekee yenu?😂😂aliechagua bungoma kwenye BID nahisi tutamlaani for good
View: https://x.com/NewStadiumsDZ/status/2104638165239644500?s=20
tunasubiria skyboxes zikae vizuriSi mlisema mnaezandaa AFCON pekee yenu na pia nyinyi ndio wenye bid? Mbona msiambie CAF wawapatie rights za kuhost pekee yenu?😂😂
Hakuna Kitu inawaumiza kama Talanta Stadium. Yani they expect touchline ishikane na lower stands, something that has never happened anywhere 😂Achana na desperate Nyamwezis
Sisi hata hatujui makamu wa rais wao ni nani.They even know our president has a home in Kilgoris. The obsession is real😂😂
Alafu anazilinganisha na picha za Wakenya ambazo walipiga wakiwa shughuli zao tu hata hawana habari na bado anaonekana mshamba. 😂😂Have you ever noticed that anytime when he is cornered he will always bring up this picture? Meaning kwa picha zake zote huwa anaona hii yenye anaonekana mshamba ndio amepiga luku kabisa😂
Unapenda kuchukua picha za hii stadium unazipiga screenshot na simu yako ya matakataka alafu unazipost zikiwa poorer quality na unajiona umefanya kitu cha maana sana. Hivi ni simu nzuri huna ama ni roho mbaya tu?sasa jamaa mlikua mnambishia nn alivokua anawaambia kutabaki huge space pemben, 🤣 🤣 🤣 alafu sisi tunajenga olypmpic stadiums shida iko wap? 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3680328
Kuna jamaa alisema apa kocha inabidi abook nganya aende kuongea nao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
By the way Jamaa Alidedicate that day for photoshoot akaenda studio kabisa.Alafu anazilinganisha na picha za Wakenya ambazo walipiga wakiwa shughuli zao tu hata hawana habari na bado anaonekana mshamba. 😂😂
Kenya has hosted:-Kenya na uganda bado hawana sifa za ku host michuano mikubwa, tena bora uganda na viwanja vyao below standard, lkn Kenya wana kiwanja kimoja tu chenye caf standard na wanashindwa kumeet requirements. Tz imezungukwa na nchi maskini sn aisee.
Analinganisha na picha ya NairobiWalker yenye amepigwa tu kighafla na bado anakaa mshamba. 🤣 🤣By the way Jamaa Alidedicate that day for photoshoot akaenda studio kabisa.
Now imagine this picture without filters😂😂😂
View attachment 3680441
Even you do rank above Eritrea a weak team na bado mkashindwa kuwafunga.Mpira hauchezwi na FIFA rankings. If that were the case, you could have easily beaten Guinea Bissau coz you rank higher than them
Hii michuano ambayo ni unpopular!?
sasa na wewe si udedicate shida iko wap 🤣 🤣 🤣 ama maziwa badoBy the way Jamaa Alidedicate that day for photoshoot akaenda studio kabisa.
Now imagine this picture without filters😂😂😂
View attachment 3680441
Hiyo nchi imeshafeli. Kilichobaki ni wananchi wao waanze kukimbilia tu nchi za watu kutafuta maisha 🥲Btw things will be worse zaidi mbele, ni vile GOK haitaki kusema but they DEFAULTED inflation will run crazy to pay back madeni
sasa mm kosa langu nn 🤣🤣🤣 mm ndo nliwaambia mchore 4km's away 🤣🤣🤣🤣Unapenda kuchukua picha za hii stadium unazipiga screenshot na simu yako ya matakataka alafu unazipost zikiwa poorer quality na unajiona umefanya kitu cha maana sana. Hivi ni simu nzuri huna ama ni roho mbaya tu?
Kwanza ni zile picha za after umepigwa unaonyeshwa alafu unasema delete hii. Hii ni mbaya toa upige ingine.Analinganisha na picha ya NairobiWalker yenye amepigwa tu kighafla na bado anakaa mshamba. 🤣 🤣