Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LDC nguvu ya kuangalia makosa ya Kenya ilhali bongovumbi ni balaa zaidi, wewe hutoa wapi?

Dar slum has double the surface area of Nairobi. Yet Nairobi has around the same sewer line connection in KM, and will certainly overtake you in a few months when this 60KM Nairobi River sewer line is complete.

And Nairobi River is mostly polluted by industrial waste, sio mavi kama mlivyofanya bahari yenu.

 
We makalio Ubungo to Chanika ni 39 km.
Na hiyo Ubungo to Kibaha inategemea Kibaha gani unayoisemea wewe.
Hata hiyo to Mbagala inategemea ni Mbagala gani. Kama Mbagala Chamazi ni more than 26kms. Acha kudanganya watu.
 
Dar ipi unayoizingumzia wewe pumbavu zako.? Around 10% of Dar city there’s sewer supply system, unajua kama 10% of Dar ni almost 1/2 of Nairobi city.?
It's even shameful you are saying only 10% of your city has sewer system.

Aya basi Nyamwezi, una lipi lingine?
 
It's even shameful you are saying only 10% of your city has sewer system.

Aya basi Nyamwezi, una lipi lingine?
View attachment 3678215
Imagine 10% of a city with 1600 square km vs 40% of a city with 500 square kilometers excluding 200 square kilometers of Nairobi national park kwa maanaingine in an area of 300+ square kilometers of Nairobi city only 40% of has supplied with sewage system . Ni mji mgani una number kubwa hapo.? Tukisema tuangalie idadi .?
 
Make a solid point of argument,stop ranting and running away from the topic. Have you read the scope? Tell me what is juakali about the project from a statistical point of view rather than from your personal feelings.I am waiting.


 
Which industrial waste mate?
Kwamba factories directs waste into the river ? What kind of practice be this ? Do you have regulations in that your poor third world country on first place ?

Besides, I know that river mate, ni mavi tupu na harufu Kali sana nilikatiza pale University of Nairobi mavi tupu. Wakenya ni wachafu sana we know that .
 
Ebu tueleze, huko Dar Mavi, with half of Nairobi sewer line coverage, mnapeleka mavi yenu wapi?
Mmechafua bahari mpaka mavi yenu inafika upande wa Kenya πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuogolea ni kurisk bongolala-grade cholera.

Nairobi we don't dump directly into the river. Ukipatikana unafungwa.
It is the old dilapidated, inadequate system which leaks into the river.
We are building a new one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…