na ndo vizuri so that we can crush those ilussions 🤣Leads in everything, hawa majamaa ni so delusional 😀😀😀
Utaskia we lead in tech, sijui innovation, ukiukiza what have they innovated labda flying toilets.na ndo vizuri so that we can crush those ilussions 🤣
kenya is always behind, thats why itsnot the only village with slums kwenye capital cityUtaskia we lead in tech, sijui innovation, ukiukiza what have they innovated labda flying toilets.
Mwaka jana ndio wamejikakamua wamehamia kwenye digital driving lisense. Kitu sisi tumeanza kutumia tangu 2000s huko
View attachment 3678020
Achilia mbali Dar, underground sewer lines kwetu tanga zipo town nzima, street numbers zote zipo, from street number 1 to street number 21.The guy is asking that question he forgets Dar wanatumia pit latrine. Neno sewer system ni geni kwao
Wengine watavunja TelevisionWengi watavunja redio zao 😂😂
View attachment 3678087
View: https://x.com/PesaWall/status/2103699080354705805
Hiyo picha I'm sure ameiba mahali. I'm 100% sure that's not him.Show me the Boma’s receipt with today’s date and the price…. Otherwise wacha story za jaba 🤣🤣
Sewer system zikosekane Dar alafu zipatikane Tanga! 🤣🤣🤣Achilia mbali Dar, underground sewer lines kwetu tanga zipo town nzima, street numbers zote zipo, from street number 1 to street number 21.
Brazil wanafungwa sembuse Tanzania.Footballing nation walifanyiwa ile kitu, tena nyumbani kule makwapa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Alafu hapa wamenyamaza like nothing happened 😂
Sio levels za rais wakati wenu anazindua hadi police stationsMawaziri wa Tanzania walishapita huko. Kwetu hizo ni levels za Wakurugenzi na Mawaziri wa kisekta. Siyo Level za Rais