Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bora uko lavington mm nliona kule upande wa mariot, na watu wanaruka apo apo
 
Eti hatuna sewage system ya kutosha wakati wewe hapo Tandale hujui hata sewage system ni nini unatumia pit latrine. How satirical!
 
Dodoma CBD to Magufuli City alone ni 23km hapo utakuwa umetoka nje ya Naipori muda mrefu sana. Dodoma is a modern city usifananishe na miji ya kijinga kama naipori
What is there between magufuli city and Dodoma CBD? Isn't it just bare virgin land begging for development?

The same 23 kms you are mentioning here utakuwa Kahawa West north of Nairobi or city Cabanas east of Nairobi. From the CBD to these two places are all built up with not even a single area of land lying idle, something that can't be said of the area in between Dodoma CBD and magufuli city ambayo ni vichaka mwanzo mwisho.

You people get carried away by these measurements of city boundaries while in real sense, there's nothing much going on in them. Just idle shrubland dotted with those infamous conhead houses
 
Huwa nafurahia sana minyamwezi yakijifariji hivi 🤣 🤣 🤣 🤣
 
But it's true. Size of Dodoma City is just the same as Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…