Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,026
- 107,522
Tz Government Press (@tz_government_press) on Threads
UJENZI WA GATI MPYA KIGOMA KUFUNGUA FURSA ZA BIASHARA Ujenzi wa gati mpya katika Bandari ya Kigoma unaendelea, likiwa na urefu wa mita 130 na upana wa mita 30. Gati hilo linatarajiwa kuongeza uwezo wa kuhudumia abiria na mizigo, kuimarisha ufanisi wa bandari na kurahisisha biashara kati ya...