lakini mnatakiwa hawa VIP muweke na mask pemben mda wa mechiUnafikiri mimi ni kama wewe jobless umepiga kambi huku?
Huh uwanja inakupa pressure za bure Nyamwezi. Hayo ni maboresho za kuweka standards ziwe juu zaidi. If I were you, I would be more concerned with this current status of maku playing surface View attachment 3667430
Kele zilikua nyingi sana humu. 😂😂😂. Wanuka mavi wanaweza kuji brand tu, uhalisia ground ni huzuni. Mradi hakuna.Hii tayari imekufa... A dead on arrival project.
Dangote atawalaani sana kelele za kunyaland zimesababisha akakosa Tanga refinery.
View attachment 3667321
whats worse jamaa hata hajasign anything 🤣🤣🤣Kele zilikua nyingi sana humu. 😂😂😂. Wanuka mavi wanaweza kuji brand tu, uhalisia ground ni huzuni. Mradi hakuna.
Una hasira huyo. 😂😂😂. The current status of Arusha stadium 👇🏾Unafikiri mimi ni kama wewe jobless umepiga kambi huku?
Huh uwanja inakupa pressure za bure Nyamwezi. Hayo ni maboresho za kuweka standards ziwe juu zaidi. If I were you, I would be more concerned with this current status of maku playing surface View attachment 3667430
hatuko nyuma na sisi ndo tunaondoka ivo na panki letuUna hasira huyo. 😂😂😂. The current status of Arusha stadium 👇🏾View attachment 3667558
Huyu lazima awe tajiri akienda kule anauza the lowest price of allWakenya sasahivi wanakuja kununua bidhaa Kariakoo. Tanzania ni kama maji, usipoyaoga utanawa 😂😂
View attachment 3667585
Ni mamia ya wakenya wanakuja kufunga mzigo kariakoo, Tanzania ni china yao.Wakenya sasahivi wanakuja kununua bidhaa Kariakoo. Tanzania ni kama maji, usipoyaoga utanawa 😂😂
View attachment 3667585
Kenyans do buy products imported from Tanzania, it is more accurate to say that Kenyans are importing through Tanzania because of the higher taxes imposed on certain imports coming through Mombasa.Ni mamia ya wakenya wanakuja kufunga mzigo kariakoo, Tanzania ni china yao.
Hapa utalaumiwa udongo,kumbe ni watu wa kitu kidogo 😁