kule upande wa pili washaliwa kichwa 🤣 🤣
Ugali huu huu wa Dona au Sembe? 😂😂😂😂😂😂
mpaka wamepigana utakua dona huo, unazulumu vp mtu shng 5 yake 🤣 🤣 🤣 🤣Ugali huu huu wa Dona au Sembe? 😂😂😂😂😂😂
btw vijana wapo serious sana na ugali, hawataki mchezo, wanaweza kuandamana for ugali 🤣🤣🤣Ugali huu huu wa Dona au Sembe? 😂😂😂😂😂😂
Gay pride sio?na hawana kelele, wale wa gay colors sasa wangeipata 🤣
View: https://x.com/CliveKyazze/status/2096089654239896003?s=20
Watu wa upinde sio?kule upande wa pili washaliwa kichwa 🤣 🤣
Uwanja umetulia,sio sufuria lenu lilePicha la kutisha indeed. This is scary 😂
View attachment 3663128
aaah kudadeki eti watu wa upinde 🤣 🤣 🤣Watu wa upinde sio?
Of course maku imetulia misituni na barabara za vumbi 🤣🤣Uwanja umetulia,sio sufuria lenu lile
mbna kama unataka kulia 🤣 🤣 kwahio kwenye tournament nzima mnahost mechi 6 tu? 🤣🤣🤣 $30M for 6 matches 🤣🤣Of course maku imetulia misituni na barabara za vumbi 🤣🤣
Kijana wa Tandale, Mimi sio mbishi kama wewe.kwan is that a tough question ilikua, umeambiwa weka picha ya full pitch kijana au ni swali gumu sana 🤣 🤣