Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Look where the machine lines are headed πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Are they headed to masidisi benzi stadium? 🀣 🀣 🀣

Now tell me where these machine lines are headed. Why are they in the opposite direction and at the center of the pitch?

Upo desperate for no reason Nyamwezi.

Baada ya kuona stitching machine katikati ya uwanja where you said stitching will not happen sasa wimbo umebadilika hewani!
 
Moshi πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Your browser is not able to display this video.
 
umepost mwenyewe alafu unaikimbia πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , btw nlikwambia apo ni upande wa goal na few sections katikati pamoja na pemben wamemaliza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bila kusahau jamaa wanafanya kazi kwenye grass mbovu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You are ignoring the main reason why I posted that picture. Kijana wa Tandale, nilikuuliza ni nini hiyo stitching machine inafanya hapo katikati ya uwanja after you told us that stitching haitafanyika eneo hilo la uwanja. Instead of answering this question, umeanza kutoa povu na kubadlisha gear hewani. Unaona ulivyo kilaza?
 
Do you know the difference between storey and floors? Grand Sultan is 20 Storey and not Floors. Imperial Tower is 18 floors.
 
Itsnot about ignoring ndo reality, as we said earlier the main aim ni kuweka viraka and the main focus ni sehem zilizo vulnerable and not the whole turf thats why you see different lines upande wa goal and then a different path to the center, that machine isnt for making the whole stadium hybrid its kuweka viraka, if you check how met life was stitched ilianza kwanza zile carpet(Natural grass grown elsewhere) ndo wakafuata wao

sasa nyie mnawekewa viraka na sio the way you want it to be
 
Hiyo size ya Kisumu international airport is handling how many passengers in a year?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…