Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka wapige magoti hadi Dodoma kama kawaida yao tukizuia Mahindi! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nionyesheni video moja tu ya Wakenya wakilalamika eti wamefungiwa mahindi ya bongoland nitoke hili jukwaa. Mimi nawapa hapa Watanzania wakilalamika Kenya kuzuia wasiuze mahindi yao Kenya.

View: https://www.youtube.com/watch?v=dfGxOsa0Xps
 
Me mambo ya kulazimishiwa upumbavu ndio sitaki. Kama huwezi kuwa mkweli usijibizane na mimi. Hii hapa renda ya jengo lenyewe πŸ‘‡πŸΎView attachment 3661335hapo ni 15 floors.?
Hivi huoni
Me mambo ya kulazimishiwa upumbavu ndio sitaki. Kama huwezi kuwa mkweli usijibizane na mimi. Hii hapa renda ya jengo lenyewe πŸ‘‡πŸΎView attachment 3661335hapo ni 15 floors.?
Hivi nini huoni wee mbilikimo? Wewe ni mbilikimo, sii kipofu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
NairobiWalker we endelea kuhangaika, ila nina projects (Rebders ) 7 mkononi nazitafutia tu consyruction sites zake nitazipost, kwahiyo we furukutaa. Ukikubaliana mimi naendelea nilipoishia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weka Vitu za ukweli uwache uongo wee mbilikimo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…