kenya inachekesha kama haukai uko π πUkunduni ni wapumbavu kweli yaani hata Tanzania wanaweza ku-claim territory!
Umekuwa ukumbi wa discoππ
kila neighbor waliyepakana nae wana border dispute!kenya inachekesha kama haukai uko π π
au na sisi tulianzishe π πkila neighbor waliyepakana nae wana border dispute!
Conhead highway π«£π€£π€£π€£Msije kuwaambia hapa ni Iyumbu - Dodoma watakimbia humu.
View attachment 3660130
View attachment 3660132
View attachment 3660133
vp ile diesel ya kwenda kisumuConhead highway π«£π€£π€£π€£
Nilisema kama wewe ni mkaazi wa East Africa na umezaliwa Kenya, shukuru Mungu. Akina Geza Ulole wakajam. π π π