rudia kusoma kwa utulizi bila kuliaEnyewe ujinga coupled with desperation is a lethal combination.
Bongolala, unaongelea 30-day breakdown which involves field preparation to natural grass sprouting wakati Talanta ishapita hizo stages zote tuko kwenye synthetic fiber stitching!!!
Why are you this desperate? Why can't you keep us posted about what's happening kule msituni Arusha badala ya kushinda ukisumbuliwa kichwa na kitu mlisema haitajengwa?
Stop showing us vitu za nchi zingine. Ulisema you have hybrid pitch. Tuonyeshe picha ama video kama hiyo to prove your point. Why are yiu looking for validations thousands of kilometers away wakati hybrid putch mnayo hapo hapo uswazini?Adding salt to the wound 😂😂 hio stadium ni mbaya 😂😂😂 wakati tunapiga kelele apa ya grass mlikua mnatuona kama hatunazo sio 😂😂😂
unasema it will be world class sio 😂😂😂 do you want to see world class grass are prepared? 😂😂😂😂
View: https://www.youtube.com/watch?v=WAZ7hvQv-84&pp=ygUodWVmYSBjaGFtcGlvbnMgbGVhZ3VlIGZpbmFsIGh5YnJpZCBncmFzcw%3D%3D
for 10 days kuna uwezekano ata goal post wasimalize 😂😂😂😂 alafu hua tunawaambia apa no one cares about emotions zenu, ona sasa jamaa wenu alitegemea ataambiwa grass ya pale ni world standard kumbe kawangware standard 😂😂😂😂
i said wanakuja kuweka viraka the last time we were talking about hybrid and i gave example how world class stadiums are made to hybrid 😂😂😂😂
From late 80s to end of the last century, Kasarani was the king of East and Central Africa. It set the standard. Now Kenya has raised the bar again. Watch Football only stadiums start coming up in the region. Ethiopia is next . That’s how Kenya leads ukanda huu .Kasarani had seats idiot. Wakati tulikuwa na Stadium kubwa nyinyi bado mlikuwa mbatembeza bakuli kwa wachina🤣🤣😅
tukuonyeshe picha na watu waliweka 4 years back?Stop showing us vitu za nchi zingine. Ulisema you have hybrid pitch. Tuonyeshe picha ama video kama hiyo to prove your point. Why are yiu looking for validations thousands of kilometers away wakati hybrid putch mnayo hapo hapo uswazini?
hadi nakuonea hurumaFrom late 80s to end of the last century, Kasarani was the king of East and Central Africa. It set the standard. Now Kenya has raised the bar again. Watch Football only stadiums start coming up in the region. Ethiopia is next . That’s how Kenya leads ukanda huu .
BTW which standard mlikua mmeset, si timu zenu zilikua zinaomba kucheza uganda au tanzania 😂 😂 , au ulitaka professional football ikachezewe kwenye nyasi mbovu 😂😂😂😂😂From late 80s to end of the last century, Kasarani was the king of East and Central Africa. It set the standard. Now Kenya has raised the bar again. Watch Football only stadiums start coming up in the region. Ethiopia is next . That’s how Kenya leads ukanda huu .
Hongereni japo hofu yangu ni kwamba slums huenda zikaongezeka maradufu, kwasababu hakuna asiyejua kwamba kenya kuna gap kubwa btw wenye nacho na wasio nacho, jiulize slum dweller gn ata afford kupanga hapo? Ni kama mnawaambia wakajenge slums kwengine, na hata kama mtawapa bure few years to come patageuka pipeline mpya. Africa sijui nani kawaroga, maskini wanahitaji watengenezewe mazingira ya kupata kazi au shughuli za kufanya ili ku improve their standard of life na siyo kuwajengea, haitasaidia.The transformation of Eastlands continues. Roho chafu President of China masaa ya kuvunja itel yako bado.
Hawker Street Hawker ona vile zinakuja na piped metred gas. Huko Darvumbi wale wachache hawatumii makaa na kuni, ni mitungi tu,. 😂😂
View: https://x.com/ray_omollo/status/2093160308260946042
View attachment 3658904View attachment 3658905View attachment 3658906View attachment 3658907View attachment 3658908View attachment 3658909View attachment 3658910View attachment 3658911View attachment 3658912View attachment 3658913View attachment 3658914View attachment 3658915View attachment 3658916
View attachment 3658917View attachment 3658918
Hongereni japo hofu yangu ni kwamba slums huenda zikaongezeka maradufu, kwasababu hakuna asiyejua kwamba kenya kuna gap kubwa btw wenye nacho na wasio nacho, jiulize slum dweller gn ata afford kupanga hapo? Ni kama mnawaambia wakajenge slums kwengine, na hata kama mtawapa bure few years to come patageuka pipeline mpya. Africa sijui nani kawaroga, maskini wanahitaji watengenezewe mazingira ya kupata kazi au shughuli za kufanya ili ku improve their standard of life na siyo kuwajengea, haitasaidia.
hizo slums haziwezi kuisha, watu hawana ela serikali inajenga nyumba za kuuza 😂 😂 😂Hongereni japo hofu yangu ni kwamba slums huenda zikaongezeka maradufu, kwasababu hakuna asiyejua kwamba kenya kuna gap kubwa btw wenye nacho na wasio nacho, jiulize slum dweller gn ata afford kupanga hapo? Ni kama mnawaambia wakajenge slums kwengine, na hata kama mtawapa bure few years to come patageuka pipeline mpya. Africa sijui nani kawaroga, maskini wanahitaji watengenezewe mazingira ya kupata kazi au shughuli za kufanya ili ku improve their standard of life na siyo kuwajengea, haitasaidia.
Hiyo ndio video mkiweka hybrid pitch? 😂😂tukuonyeshe picha na watu waliweka 4 years back?
View attachment 3658987
Ungetuambia nyinyi mnafanya nini kupunguza slums zenu za uswazi badala ya kucriticize juhudi zetu.Hongereni japo hofu yangu ni kwamba slums huenda zikaongezeka maradufu, kwasababu hakuna asiyejua kwamba kenya kuna gap kubwa btw wenye nacho na wasio nacho, jiulize slum dweller gn ata afford kupanga hapo? Ni kama mnawaambia wakajenge slums kwengine, na hata kama mtawapa bure few years to come patageuka pipeline mpya. Africa sijui nani kawaroga, maskini wanahitaji watengenezewe mazingira ya kupata kazi au shughuli za kufanya ili ku improve their standard of life na siyo kuwajengea, haitasaidia.
Hiyo ndio video mkiweka hybrid pitch? 😂😂
tumekwambia sisi tuna slums?Ungetuambia nyinyi mnafanya nini kupunguza slums zenu za uswazi badala ya kucriticize juhudi zetu.
Nawahurumia sn wakenya, hawajui washike wapi, hawana proper direction as a country.hizo slums haziwezi kuisha, watu hawana ela serikali inajenga nyumba za kuuza 😂 😂 😂
View: https://www.youtube.com/watch?v=JvGkHjZBhYw
Juhudi za upigaji? Nani asiyejua hiyo ni miradi ya upigaji ya Ruto? Mkiwa pekeenu mnalia mkiwa na watanzania mna brag.Ungetuambia nyinyi mnafanya nini kupunguza slums zenu za uswazi badala ya kucriticize juhudi zetu.