Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

International sources ni hiyo Instagram? So ikiwekwa hakukuwa na mtanzania yeyote hapo to an extent that we must only rely on international sources?πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Wanafosi tufanane. They built a stadium that fans will view action one kilometer away and now they're trying to force the same analogy on Talanta.

We also built a stadium with hybrid playing surface now they're claiming they also have one while in real sense hawana. Very desperate creatures
 
Tatizo nmegundua wakenya wengi wako less informed, wao wanadhani mambo yapo kwao tu kumbe kwa wenzao kupo vzr kuliko kwao.
Wewe hawker uza zege zako aka chipsimayai in peace.
Tengeneza pesa yako ya madafu ni peace, na ubarikiwe kazi ya mikono yako.

Lakini akili wachia wale wako nayo watumie.
Kufikiria ingekuwa kazi yako, Mungu angekupa nguvu za akili sio nguvu za upishi.

Agreeing with resident rodent stakehigh is the first sign umeanza kutupa ile akili ndogo ulikuwa umebakisha. πŸ˜‚
 
sasa unataka tufanye nn? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi na nyie nani kazindua mashindano top in afrika zaidi ya mwenzake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie ni mafala tu

View: https://www.youtube.com/watch?v=LW5R1zgRKqI&pp=ygUeYWZyaWNhbiBjaGFtcGlvbnMgbGVhZ3VlIG1rYXBh
 
Makasiriko ya nn ss πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…