Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alafu mbna sioni mkiwapeleka caf kwenye hizi boxi
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/nyeridaiynewspaper/posts/talanta-stadiums-sky-boxes-nearing-completion/3321083794767897/
 
we fala nn, umeona wana ushamba kama wenu, watu wana hybrid mwaka wa nne unadhan wana kaushamba kama kenu, or did you see uganda's bragging wheninstalling HYBRID? na wanayo mda mrefu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mm kuna muda huwa nawashangaa sn hawa jamaa, unajua pale Amani stadium wameanza kutumia hybrid grass mda mrefu, wao wanaongea leo, au walitaka kipindi zinawekwa tuanze kutupia humu kama wao walivyo washamba??
 
Uganda installed their hybrid last year. Hiyo ndio muda mrefu? Tanzania has no hybrid grass, kama iko tuonyeshe ikiwekwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
lets say yes they installed last year, umewaona wana kelele mtandaoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ infact washaanza kuchezesha mechi za champions league already πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ meanwhile kuna watu waliambiwa liverpool na manu wanakuja kucheza apo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
What are these? Naona ushaanza kuwa confused kama JanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
sasa si ndo kazi yake according to online hazina uhusianona fibre πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ebu tuonyeshe washacheza hapo ya CAF champions league πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
sasa si ndo kazi yake according to online hazina uhusianona fibre πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama haina uhusiano then why can't you use it in your Stadiums?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
ni next week tu apo i think kitara will be playing there
Umesema washacheza champions league, so meaning you have been lying around?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Please note that you are dealing with analyst. I analyse every word you say and every picture you post. You will hate engaging me forever πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…