Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajitekenya alafu unacheka mwenyewe, ni last 2 days nmesema we know kuna cabros zinawekwa au unajiskia kujitekenya tena 😂 😂 BTW we are waiting for more dismantle

View: https://x.com/Wiki_Kenya/status/2088005465011818978?s=20

😂😂😂😂😂

View: https://www.facebook.com/nyeridaiynewspaper/posts/talanta-stadiums-sky-boxes-nearing-completion/3321083794767897/
 
au unataka tuhamie wap sema tu wenyewe 😂 😂 😂 😂 , au sio hapa? infact tumewapa hongera kwa kudivide VUMBI au hamtaki hongera yetu?View attachment 3657071View attachment 3657072View attachment 3657073
Picha za 2014 🤣🤣
1787696687946.png
 
Leo unaongea kiunyonge Sana🤣🤣🤣
leo kinyonge sana 😂 😂 hujaona kuna watu mpaka walishindwa kujizuia wakaniban post zangu ndo wanaonekana leo, ama hujaona 😂😂😂😂😂
1787697075668.png
 
leo kinyonge sana 😂 😂 hujaona kuna watu mpaka walishindwa kujizuia wakaniban post zangu ndo wanaonekana leo, ama hujaona 😂😂😂😂😂
View attachment 3657087
Leo wanaonekana cause they come to laugh at you. Mbona Leo haulizi kuonyeshwa hybrid grass pale Talanta Stadium?😂😂🤣🤣
 
Leo wanaonekana cause they come to laugh at you. Mbona Leo haulizi kuonyeshwa hybrid grass pale Talanta Stadium?😂😂🤣🤣
😂😂😂 alafu waliban kabisa wasione uwanja ambao ni wao 😂😂 yaani uwanja ni wako alafu unakimbia ukionyeshwa picha zake 😂😂😂😂😂😂


View: https://x.com/Wiki_Kenya/status/2088005465011818978?s=20


View: https://www.facebook.com/nyeridaiynewspaper/posts/talanta-stadiums-sky-boxes-nearing-completion/3321083794767897/
 
Back
Top Bottom