Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,305
- 18,144
Tutaiba hadi cabros 🤣🤣🤣Aki 1.1bn bora hiyo hela wangepeleka kwa power generation huku wangeaacha tuu maana hata baada ya AFCON nauonea huruma huo uwanja nyangau hajui kutunza kitu. Afcon ikiisha tuu wataiba kila kitu hapo.